Nchi yetu kusemwa hivi nje ya nchi kweli inaumiza sana sijui tufanyeje sasa

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
IN TANZANIA, ABDUCTIONS AND DISAPPEARANCES OF GOVERNMENT CRITICS CONTINUE UNABATED

Once again, we must bring unfortunate and regrettable news from Tanzania. We must, once more, ask the world to focus attention on the deteriorating human rights situation in my country.

On Monday July 29, Erick Kabendera, a well-known investigative journalist, who has worked for some of the major news organizations in this part of the world, was snatched from his home in Dar es Salaam, Tanzania's commercial and economic hub. He was taken at gunpoint by heavily armed men, who had been brought to the area in unmarked cars and without any identification. Yesterday the Dar es Salaam Regional Police chief confirmed that Mr. Kabendera was being held for questioning in an undisclosed location. There was no prior information nor charge or arrest warrant against him; and the regional police chief did not give any reason for holding the respected newsman.

For all intents and purposes, it appears that Mr. Kabendera was abducted, and is now being held illegally............

source: http://www.vanguardafrica.com/afric...ances-of-government-critics-continue-unabated
 
Hata wazee wa CCM wamechoka ila hawana namna, wameishia kusema huyu mshamba wengine amechaganyikiwa basi tena
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wamekichonga kinyago wenyewe na kukisukumia Ikulu sasa WANAJUTA! Humu tukiandika ukweli kwamba bugirichato ni nduli, mwizi, fisadi, muongo, mtekaji, mtesaji, mwendawazimu na MUUAJI, tunaambiwa eti ni matusi yaliyokithiri dhidi ya Rais na kuishia kupata BAN wakati ni UKWELI MTUPU.

Hata wazee wa CCM wamechoka ila hawana namna, wameishia kusema huyu mshamba wengine amechaganyikiwa basi tena
 
Mnaojua kama tunasemwa vibaya kama ulivyoandika ni < 0.0000001% yetu, hivyo haituhusu hata waseme mpaka kiama, sisi hatujui labda uwe unatuambia kama ulivyofanya sasa hivi!
 
IN TANZANIA, ABDUCTIONS AND DISAPPEARANCES OF GOVERNMENT CRITICS CONTINUE UNABATED

Once again, we must bring unfortunate and regrettable news from Tanzania. We must, once more, ask the world to focus attention on the deteriorating human rights situation in my country.

On Monday July 29, Erick Kabendera, a well-known investigative journalist, who has worked for some of the major news organizations in this part of the world, was snatched from his home in Dar es Salaam, Tanzania's commercial and economic hub. He was taken at gunpoint by heavily armed men, who had been brought to the area in unmarked cars and without any identification. Yesterday the Dar es Salaam Regional Police chief confirmed that Mr. Kabendera was being held for questioning in an undisclosed location. There was no prior information nor charge or arrest warrant against him; and the regional police chief did not give any reason for holding the respected newsman.

For all intents and purposes, it appears that Mr. Kabendera was abducted, and is now being held illegally............

source: http://www.vanguardafrica.com/afric...ances-of-government-critics-continue-unabated
Acha waseme watachoka. Walizoea kunyenyekewa mamamae zao.
 
Wewe utaishi ku comment tuu hapa ila uteuzi utaendelea sana kuusikia kupitia barua za Msigwa na TV...
Mnaojua kama tunasemwa vibaya kama ulivyoandika ni < 0.0000001% yetu, hivyo haitusu hata waseme mpaka kiama, sisi hatujui labda uwe unatuambia kama ulivyofanya sasa hivi!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwani kilichoandikwa hapo ni uongo?

Ulitaka waseme kakamatwa baada ya kukaidi amri ya polisi au?

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom