Naomba msaada: Natafuta ufadhili wa mradi wangu wa elimu

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
368
2,513
Wadau naomba mnisaidie kama kuna mtu anafahamu au ana taarifa ya taasisi, mtu, watu au kampuni yyote inayofadhili au kusaidia miradi ya kielimu.

Nina project ya elimu inayotumia technology kuwafikia wanafunzi ni technology ya kipekee sana. Nachokwama ni mtaji wa kutengeneza content na kuifikisha kwa watu.

Please nisaidie kama una taarifa yoyote inayoweza kunisaidia.
 
Hongera kwa kuwa sehemu ya waleta maadiliko. Nakushauri jaribu kutemblea tovuti hizi:
1. vliruos.be then nyosha moja kwa moja kwenye kitufe cha project funding.
2. si.se --apply--- funding and grants.

*wafadhili/wadhamini wapo wengi sana tatizo letu tunashindwa kutimiza t & c ambazo zinawezekana iwapo watu wenye nia thabiti wakiunganisha nguvu kwa pamoja.
 
Kuna taasisi inaitwa HDIF (human development innovation fund) Wako mikocheni Hawa kila mwaka huwa wanatoa grants, maonyesho etc. Watafute unaweza nufaika pia wanashikiana na COSTECH. mradi wako ni moja ya miradi vipaumbele kupata grants. Watafute unaweza wezeshwa.
 
Pakua app ya Project Funding ipo play store utaona wafadhili wengi humo
 
Back
Top Bottom