Huu ni ukweli kabisa najihisi amani kubwa Sana na kutembea kifua mbele kwa kuzaliwa Tanzania nchi nzuri ya kupendeza yenye wingi wa maziwa na asali,
Nchi ambayo heshima yake iliyopotea imeanza...
Tufikirie: tutafikia nchi ya viwanda miaka ijayo ila kwa sasa its so much cheaper to use somebody factory huko china na nchi nyinginezo uka produce na ukafanya biashara yako vizuri tuu hapa...
OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) inakusudia kufanya sensa ya kilimo, uvuvi na ufugaji nchini ili kupata matokeo ya mchango wa sekta hiyo, kwenye pato la Taifa na kupanga mikakati mingine mipya...
wakuu ndio hivyo.
uzi tayari.
Nimegundua Bora watu waone matokeo, badala ya kumwaga mipango michanga na rojo.
Wengi huwa wanatuloga aisee.
Unashangaa jambo linakuwa gumu wakati ni jepesi.
Mfanyabiashara maarufu jijini Arusha,Philemon Mollel(Monaban)ameangua kilio mbele ya Naibu waziri wa Kilimo na Chakula akiitaka serikali imuongezee muda wa kuendelea kupangisha katika kiwanda cha...
Hapa simaanishi watu wasisome, kusoma ni muhimu, ila ukiwa na basic education ya form 4 jisomee ukiwa field (uraiani) unapata elimu ya darasani na field hapo hapo.
Output ya wahitimu wanaotoka...
Ni sababu zipi zinazopelekea tovuti za mamlaka mbalimbali kwa Tanzania kutotambulika na wengi?
Kutokana na uchunguzi wangu kati ya watu 10 anayetambua walau tovuti moja inayohusiana na mamlaka za...
Ivori wana condiments nzuri sana kwa muonekano, na labda zina muonekano mzuri kuliko condiments nyingine zote zinazozalishwa hapa bongo. Lakini bwana zina ladha mbaya, tomato sauce ya ivori ni...
Habari wana JF.
Kwa maoni yangu, na ili kuongeza ufanisi, napendekeza wakuu wa taasisi za umma wapewe majukumu ya kuziongoza taasisi kwa mikataba.
Kwa mfano: mtu anapewa ukuu ya kituo cha Afya D...
Mimi hawa voda huwa siwatumii kabisa ni mpesa ndo sababu huwa wananipa tuzo point huw najaribu kuzitumia ila tatizo mb hazitumiki hakuna page inayofunguka sasa sijui ni setting au mtandao wenyew
NDUGU WANA JAMVI SALAAM
ni kuhusu huu mtandao wa tamisemi wa ajira katika kada ya afya sijui umekumbwa na tatizo gani yaan sever zao hazifunguki kabisa,
hal deadline ni kesho 5-8-2019, ndugu...
Baraza la Uhifadhi wa Mazingira nchini NEMC limesema halitamvumilia mtu ambaye atabainika kutumia mifuko ya plastiki ambayo imepigwa marufuku na Serikali na kueleza kuwa atakayebainika atahukumiwa...
Nashindwa kuelewa wale wote wanaolalamika kuwa deni la taifa katika awamu hii ya tano limekuwa. Hatukatai kukua kwake ila miradi yote inayofanya kwa ukuwaji wa ilo deni tunaiona kwa macho...
Habari za asubuhi kuna dada wa kazi wa jirani yangu kaja tukapiga stori kadhaa baada ya boss wake kusafiri.
Alichoniambia kimenistua mpaka nimëmpa 20000 kama hongera. Alichoniambia ni kuwa boss...
Unanunua bando la wiki nzima la kifurushi cha internet labda bando la shilingi 3,000 unapewa 400MB (kwa mtandao naotumia mimi).
1. Mosi, hilo bando uliloambiwa ni la wiki litadumu kwa siku 6...
Habari za majukumu wakuu?
Nahitaji msaada wa information. Kuna mzigo wangu nimeuagiza kutoka huko ugaibuni. Sema huu mzigo una utata kidogo.
Sasa nilikuwa nahitaji kama ningepata afisa wa TRA...
Tunapokwenda Kanisani naomba tuiombee Roho ya ndugu yetu na rafiki wetu mpendwa Judge Projest Rugazia. Ameaga dunia. Mwenyezi Mungu aitakase Roho yake ampe uzima wa milele. Ni majonzi makubwa...
Hivi nahitaji ufafanuzi wa haki sawa maana yake ni nini? Maana matumizi nyumbani ni jukumu la baba kupeleka watoto shule ni lake kuhakikisha usalama wa sehemu munapoishi ni la baba mama akifanya...
Kuna wimbi la matapeli wanaowapiigia wateja simu kwa kuwatisha kuwa unatakiwq TAKUKURU - Makao makuu Upanga kwa kukupa muda mfupi ili ufike Makao Makuu Upanga. Ndugu yangu alipigiwa simu Jumamosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.