Natangaza kujinyonga

Natangaza kujinyonga

wasumu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
2,460
Reaction score
2,278
Kama alipita mwaka 2015 atapita na mwaka 2020
Mie ni muhehe najinyonga asipopita maamuzi magumu
Jo ni jembe na mwamba wa taifa
 
Kabla haujajinyonga kuna mtu anahitaji hizo figo. Okoa uhai wa wenzako.
 
unatoa wapi ujasiri wa kujinyonga?🤔
Mimi hata kufunga kisikizo cha shati kwa juu siwezagi kabisa🤣😁
 
Kama alipita mwaka 2015 atapita na mwaka 2020
Mie ni muhehe najinyonga asipopita maamuzi magumu
Jo ni jembe na mwamba wa taifa
Mimi akipita 2020 natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najinyonga. Naacha wosia nitajizika mwenyewe.
 
Kama alipita mwaka 2015 atapita na mwaka 2020
Mie ni muhehe najinyonga asipopita maamuzi magumu
Jo ni jembe na mwamba wa taifa
ukinyoga nasikiaga ukiwa unakata roho unajinyea mm nitaijia mavi tu.
 
Tumesikia maombi yako.... Ila ni bora ujinyonge tu
 
Back
Top Bottom