Mahakama Kuu imeamuru Bunge la Seneti Kenya kumlipa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua KSh milioni 50 kama fidia ya kikatiba, ikibaini kwamba haki yake ya kusikilizwa kwa kesi ilikiukwa wakati...
Mwaka 2019, jamaa mmoja aliyejulikana kama Aaron Smith kutoka North Carolina alizindua Singularity, app ya kutafuta wachumba mtandaoni ila iliyobuniwa kwa kanuni moja tu, kwamba hakuna mwanaume...
Yule aika ni wakala wa shetani, ni mshirika namba moja anaepush ajenda za wanawake kuchukia wanaume, hapa unagundua kwamba ana changamoto ya afya akili, anahisi kila mwanamke akisusia mapenzi...
Nilipokuwa na miaka 19 na kufanya kazi kwenye baa, nilikuwa nikiwacheka sana watu waliokuwa wanacheza kamari kutwa nzima. Nilijiona bora zaidi yao na kuwaza, "Hawa watu wana akili dhaifu," kwa...
Mara nyingi watu hukumbuka mabaya tu waliyopitia au kufanyiwa katika maisha Yao na watu mbalimbali.
Lakini leo ningependa tujue mambo mazuri ambayo watu wamefanyiwa na yameacha alama katika...
Level 1: Wa Chini Zaidi
Hawa ndiyo maisha yamewakalia vibaya kabisa. Hana pa kulala pa uhakika, hana mtaji, hana kazi ya kudumu, wakati mwingine hata mlo mmoja wa siku ni bahati.
Ndoto yake kubwa...
Tuanze ba uaminifu ndege wengi Huunda couple za muda mrefu, na baadhi yao hubaki na mwenza mmoja kwa miaka mingi au maisha yote. Mfano hata njiwa ambao wanajulikana kwa mahusiano ya kudumu..hapo...
Serikali imewahakikishia wakazi wa Sinza kuwa Mpango wa Uendelezaji Upya wa Eneo la Sinza wa mwaka 2026–2046 haulengi kuwaondoa wananchi katika maeneo yao, bali kuboresha matumizi ya ardhi...
Nionavyo mie,
Maisha ya tangu utotoni, malezi, makuzi na matukio tunayopitia yana mchango mkubwa katika kutushape tuwe watu wa aina gani.
Ongea yetu, mienendo yetu, namna tunavyochukulia mambo...
USIKU WA KWANZA KABURINI 😢⚰️
Ndugu Waislamu, kifo si mwisho wa maisha bali ni mwanzo wa safari ndefu ya Akhera. Siku ambayo roho itaondoka mwilini, mali, marafiki na ndugu wote watabaki duniani...
ukitazama vijana wa Kenya na wa Tanzania kadri siku zinavyokwenda naona kama mindset zimeanza kutofautiana sana.
Kwa mfano Kenya wana uchaguzi mwakani lakini ukiangalia mijadala yao mitandaoni...
Sijui vizuri mambo ya upangiliaji wa mikoa ila nahisi Kahama ina uwezekano mkubwa wa kuwa mkoa
Ni maendeo gani mengine unayaona yana uwezekano mkubwa wa kuwa mikoa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema jukumu la kulinda usalama wa nchi ni la kila mwananchi, akisisitiza kuwa makundi ya uhalifu hupanga na kutekeleza shughuli zao kwa siri...
To stop witchcraft, to stop evil star 🌟 hunters spirit, etc.
Read below , Bible verse in seven times, into your drinking water, say your personal intention and drink the water, you can also read...
Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha...
Yaani ukiwa Zanzibar, Harusi ni nje nje, utake wewe kuoa..
Hata rafiki yako akioa, anataka mchango wa Elfu tano(elfu moja moja tano).. Kama utatoa ziada ni hiari yako.
Lakini huko bara mchango...
Ilienda vizuri sana hadi hapo karne kadhaa kupita akaja mwana mmoja ndani ya mashuka akawaambia watu kuwa ametumwa, sasa ni juu yakonkumuunga au kuuliwa, duniani haijasawa tangia enzi za bwana...
Kwa masikitiko shet'ani anatumia kila kitu kinachofanana na Mwenyezi Mungu ku 'brain wash' kizazi cha sasa.
Kwa imani mbalimbali upinde wa mvua ni Agano kati ya Mungu na wanadamu,,,Rastafarian na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.