Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kutembea kwa miguu ni mojawapo ya haki za msingi za kiraia zinazogusa maisha ya kila siku ya mamilioni ya Watanzania. Watanzania wengi wa rika zote hutembea kwa sehemu kubwa kutoka sehemu moja...
1 Reactions
0 Replies
123 Views
ANDIKO LA Jebra Kambole Amri ya hivi karibuni ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni iliyotolewa tarehe 28/05/2026 na Meya wa Kinondoni Mh. Songoro Hamis Mnyonge ya kuwaondoa kwa nguvu watu...
1 Reactions
4 Replies
382 Views
Kisanga gani ulichokutana nacho ulivyo tembelea ughaibuni mathalani swala la chakula,lugha na tamaduni za nchi husika na uliendana vipi na mazingira.
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Katika hali ya kipekee sana Jamii ya Binadamu leo katika maeneo mengi Duniani inaonesha kuchoshwa sana na Serikali , Dini na Siasa. Taasisi hizo ziliiaminisha Jamii kuwa zitaleta utaratibu...
3 Reactions
8 Replies
155 Views
Habari zenu wanajukwaa,!? Baada ya misukosuko ya mwaka 2025 hatimae taratibu tuna anza kurejea na kuungana kupitia jukwaa letu pendwa JF, ambapo wengi wetu hujifunza na kuburudika...
12 Reactions
14 Replies
179 Views
Kama mwanaume ni mbwa basi mwanamke ni joka! Usipaniki..hebu sikia ya huyu mwanaume kipofu.. Anasema alikuwa mtu mashuhuri, mwenye nyumba mbili na kipato kizuri tu..ghafla akaumwa upofu...
11 Reactions
62 Replies
710 Views
Kwa mambo yanayoendelea kuuana, kutekana, CCM, Chadema, wanaharakati, machawa, ufisadi, maendeleo ya nchi, madeni, Utanganyika, Uzanzibari, bandari, uranium, UAE, EU, Russia, changamoto za ajira...
2 Reactions
3 Replies
80 Views
Huu ni mjadala huru : Wahitimu wa taaluma ya elimu katika masomo ya sanaa nchini Tanzania wanapitia kwenye kaa la moto kwa muda mrefu sasa, watu wamesota miaka zaidi ya kumi lakini hakuna...
2 Reactions
17 Replies
316 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imeripoti kuwa imekua ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana...
1 Reactions
6 Replies
126 Views
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe Albert Msando, ameongoza ziara maalum ya viongozi wa Manispaa ya Ubungo katika chanzo cha uzalishaji maji Ruvu Juu kwa lengo la kujionea hali ya uzalishaji na...
0 Reactions
0 Replies
103 Views
Habarini wakuu, naomba kujua kama kuna driving school nzuri iliyopo Tandika, karibu na soko la Tandika. Natanguliza shukurani.
1 Reactions
0 Replies
87 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Meli ikiwa inazama na ikiwa imezungukwa na mitumbwi pamoja na boti ambazo zilisaidia kwenye uokoaji RIPOTI ya Tume ya Jaji Robert Kisanga, iliyochunguza chanzo cha ajali ya mv Bukoba, inasema...
15 Reactions
293 Replies
97K Views
Yapo mengi, mimi naanza na hili, wewe ongezea: 1. Keshomshahara
15 Reactions
205 Replies
2K Views
What could be her motive? Ametukumbusha machungu ya Shauri Tanga pa moja na machungu ya wanafunzi wa Rugambwa Secondary Form 6 leaver waliopoteza maisha kwenye MV Bukoba wakiwa wanatoka kufanya...
1 Reactions
7 Replies
246 Views
Kumekuwa na tetesi kwamba baadhi ya matajiri wanazuia mizigo ya watu kupitia maafisa wa bandari wasio waaminifu. Iko hivi kama unaleta kontena ya viatu basi tajiri alieshika viatu hapa bongo...
19 Reactions
77 Replies
1K Views
Mjukuu wangu ananijuza, babu kuliko kuweka fedha bank na kununua hisa, Kwanini watu wasinunue Dhahabu na ardhi tu? Nikafikiria nikataka kumjibu nikanyamaza. Kwa hiyo na mimi nawaulizeni ninyi...
5 Reactions
29 Replies
519 Views
Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Mara, Ghati Chomete, amesema licha ya miongozo ya serikali kuwataka wananchi wa vijijini kulipa kiasi cha shilingi 27,000 tu kwa ajiliya kufungiwa umeme, hali ni...
2 Reactions
6 Replies
183 Views
Sina hakika ni skendo tu nasikia ni ya LUGUMI. Kwa ukubwa inaonekana vigogo hewa wa humu jf tunaweza SHINDWA KUMUDU billi ya maji na luku, maisha haya
12 Reactions
128 Replies
2K Views
Hivi kwanini Benki za wazao zina penda sana kupora pesa wa wateja, kiujanja ujanja wao imagine nimekupa Berela wewe unataka kuisearch kwa matumizi yako kwanini unilipishe mimi huo ni wizi. Hizi...
1 Reactions
2 Replies
171 Views
Back
Top Bottom