Ushauri wa bure kwa serikali,
Ndege nyingi za mashirika ya Uarabuni zimepaki na zinakula hasara kutokana na vita vinavyoendelea, kwa nini msiondoe kodi zenu zenye utitiri mwingi na transit visa...
Ukitazama kiundani kuna mambo yanafikirisha.
Mfano Waislamu wote wanaipinga Israel na wanawajali sana Wapalestina wa Gaza ila hakuna Waislamu wanaojali Ukraine kuvamiwa na mauaji ya raia huko, je...
Jiji la Dar es Salaam limeanza rasmi operesheni ya kuondoa spika za matangazo ya biashara zinazotajwa kusababisha kelele katika maeneo mbalimbali ya biashara, hususan Kariakoo, kwa lengo la...
Sitaki kuwa mnafiki ila nchi inapoelekea .Hawa watu washamaliza kama mtajua wenyewe ni wenyewe.Ila palipo na jambo sio mimi.
Msipo kuwa makini JWTZ ndio mtasaidia urusi na mwenye kuuliza mtajuta...
Magonjwa kumi yaliyowafanya Watanzania kulazwa hospitali kati ya Julai 2025 mpaka Machi 2026.
1. Ukimwi
2. Magonjwa ya Moyo
3. Maambukizi katika mfumo wa hewa
4. Kisukari
5. Magonjwa ya mfumo wa...
Mengine ni magumu kusema .Maana mpaka kuna watu wametengenezewa studio na ofisi wanaweza kucomment mtandao wa meta au TCRA ukafungiwa au kupotezwa kwa ushenzi wa watawala hawa wizi nje nje kisha...
Wakuu, mimi naishi bado kwa wazazi, japo wazazi walitengana, mama akapewa eneo na baba yake tukaenda kuishi maeneo ya babu.
Sasa nina 25yrs nimeajiliwa kijijini kwa jamaa tu kuuza duka, sasa...
Kipi nafuu kwa mtu wa karibu anayepitia ugonjwa wenye maumivu makali yasiyo na tiba—aendelee kuishi akiteseka kwa maumivu makali au apate mwisho wa mateso yake ? Swali hili gumu huibua hisia nzito...
Tatizo huwa ni lipi licha ya baadhi ya waarabu kuwa na mioyo safi ila imekuwa kawaida sana kupata malalamiko ya wafanyakazi wengi wakinyanyaswa nchi za waaabu ?
Kutoka kwenye chanzo cha kuaminika serikali imejenga tawi la chuo kikuu MUHAS mkoani kigoma na umefikia aslimia 78.9 ambapo mwezi wa nane utakamilika rasmi na kuanza kupokea wanafunzi kwa mwaka wa...
Inaelezwa kuwa tetemeko kubwa la ardhi limeikumba Ufilipino na kuibua hofu kwa wakazi, hususan waliopo kwenye majengo marefu. Wataalamu wa usalama wanasisitiza umuhimu wa kufuata taratibu sahihi...
Nssf wamekua wababaishaji sana hasa kwa watu wanaofuatilia mafao baada ya kuondolewa kazini.
Mimi ni muhanga wa jambo hili, nimeandika barua tangu tarehe 4/5/2026 branch ya Morogoro.
Ajabu ni...
Mimi ni mwananchi wa Mbezi Mwisho, huduma ya mwendokasi wameleta route ya kutoka Mbezi kwenda Gerezani na kivukoni, sasa hiyo huduma wanaita VIP maana yao kwamba gari halisimami popote kituo cha...
When a person dies, everyone around them sees the ending. The body stops. The breathing stops. The funeral happens. People cry. Life moves on without them. To the people left behind, that person...
Hakuna nchi ambayo kiongozi wao kukosa ndege na kama kakosa basi.
Nimetafakari na kuuliza wenzangu kuhusu ndege ya airtanzania ilimfata na kumleta huku.
Fikiria baba wa taifa wa Singapore kitabu chake kilikuwa na maono mpaka leo. Rais wa China mtu kabla ajashika uraisi lakini ana vitabu ambavyo china imefika hapo.
Mfalme wa Dubai ana vitabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.