Ilikuwa hivi.
Wageni walifika nyumbani kwetu, siku zile nakumbuka ni kama walikuwa wametoka msibani mkoa flani huko.
Walipofika home, wakaoga na kisha wakapikiwa na mdada wa kazi na wakakula...
Waziri wa Uchukuzi Prof Makame Mbarawa amelitaka Baraza la Kumi na Tatu (13) la Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kuhakikisha linasimamia kikamilifu kufanyika kwa mafunzo na tafiti zinazolenga...
Chezeni movies au series zinazohusu historia au matukio ya kweli yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini kwetu.
Mfano, mnaweza kuigiza series zinazozungumzia Vita vya Majimaji, historia ya...
NI KWELI MTU ALIYEACHIKA HUTAKIWA KUMFANYA MSHAURI WAKO WA NDOA
Anaandika, Robert Heriel Tz
Mtibeli.
Kikawaida watu hujifunza Kwa waliofanikiwa sio Kwa waliofeli. Unapozungumzia Elimu kikanuni...
Nimekoma kukaa uswahilini. Vita ilianza nilipo nunua kiwanja karibu na sehemu niliyo panga halafu ni kaanza ujenzi.
Kiwanja chenyewe cha milioni moja na laki nane na malipo nilifanya 4...
1. UTANGULIZI
Najua watani wangu wa Kagera, akina nshomile mtakuja juu na hawatapenda hili andiko, hasa kwa nini ninawaandama?. Jamani huu ni mwendelezo wa andiko langu la kwanza kuhusu kagera...
Kwanini Ndg. Omar Kashera alikuwa anachekekea simuliza za ukatili za Omar Mahita wakati wa mahojiano?
Nimemfahamu Omar Kashera mitandaoni na nimekuwa mfuatuliaji mkubwa wa masomo yake ya...
Amkeni wakuu.
Leo nataka kusema jambo ambalo wengi wetu tunaoishi mijini, tunaoendesha magari na kulala kwenye nyumba nzuri, mara nyingi tunalikwepa.
Kuna wakati tunajidanganya kuwa tumetoka...
Watu wengi wanachukulia wema na uungwana kuwa ni udhaifu au uzembe. Hilo linafanya wamdharau na wamtumie mtu anayeonyesha hizo sifa.
Watu wengi bado zile sifa za wanyama hazijawatoka. Za kuishi...
TAREHE: 9 JUNI 2026
TAARIFA KWA UMMA: KANUSHO LA TAARIFA ZA UPOTOSHAJI ZINAZOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Igunga (IGUWASA) imebaini kuwepo kwa...
Nataka kushiriki uzoefu wangu kama somo kwa wengine. Nilicheza mchezo wa Aviator, ambao walisema ni 'provably fair', lakini kwa kweli nilipoteza hela nyingi sana. Mchezo huu uliharibu hali yangu...
Just imagine century hii bado watu wanavuta maji kwenye visima kwa kutumia kamba na ndoo.
Baadhi ya vijiji havina huduma muhimu kama umeme, barabara, hospital, maji, shule.nk
Watu wanatumia...
Aisee yamenikuta nikahisi nipo kwenye njozi ni wiki mbili tu lakini nilikonda kiasi ambacho hata upepo kidogo ukija napepesuka
Kiufupi siku moja nimelala usiku naskia simu vuuu, vuuu, vuuu...
Watoto hawawezi kuchagua dini ipi inawafaa; mara nyingi ni wazazi au walezi ndio huamua. Mtoto hukua akipokea anachoambiwa bila nafasi kubwa ya kuuliza au kuchambua kwa kina.
Anapofikia utu uzima...
Naomba shuhuda za jambo au mambo ambayo ushawahi kuwafanyia watu waliokukosea yakawafundisha kukuheshimu na kutorudia tena tabia mbovu juu yako.
Naomba pia zile shuhuda nzito ambazo wahenga...
Mahakama Kuu imeamuru Bunge la Seneti Kenya kumlipa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua KSh milioni 50 kama fidia ya kikatiba, ikibaini kwamba haki yake ya kusikilizwa kwa kesi ilikiukwa wakati...
Mwaka 2019, jamaa mmoja aliyejulikana kama Aaron Smith kutoka North Carolina alizindua Singularity, app ya kutafuta wachumba mtandaoni ila iliyobuniwa kwa kanuni moja tu, kwamba hakuna mwanaume...
Yule aika ni wakala wa shetani, ni mshirika namba moja anaepush ajenda za wanawake kuchukia wanaume, hapa unagundua kwamba ana changamoto ya afya akili, anahisi kila mwanamke akisusia mapenzi...
Nilipokuwa na miaka 19 na kufanya kazi kwenye baa, nilikuwa nikiwacheka sana watu waliokuwa wanacheza kamari kutwa nzima. Nilijiona bora zaidi yao na kuwaza, "Hawa watu wana akili dhaifu," kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.