Athari za kumbeba mtoto mdogo kwenye bodaboda

Athari za kumbeba mtoto mdogo kwenye bodaboda

Installation

New Member
Joined
Jun 7, 2026
Posts
3
Reaction score
1
Kila mara nimekuwa nikikutana na bodaboda wakiwa wamebeba watoto wadogo Kati ya miaka 4-6 hivi wakitoka nyumbani kwenda shuleni na wakati wa kurudi pia.

Jambo lililonifanya nikfikirie Sana ni namna bodaboda wanavyowabeba watoto hawa wana wapakiza kwenye Tenki la mafuta ambapo kwangu mimi ni hatari sana kwa umri wao kwani Upepo wanaokutana nao hapo mbeleni kiafya haijakaa sawa kwani mtu mzima tu kuanzia umri wa miaka 18- kuendelea anashauriwa kuvaa Koti ili kulinda afya yake dhidi ya upepo.

Je mamlaka husika hawalioni hili jambo kwani ni hatari sana kwa afya za watoto hawa?
 
Back
Top Bottom