Vyote ni katika kujenga career yenye turn over ya 2M -5M per month kwa mtaji wa million 10.
1.auto electrical repair
Kuwa na ujuzi wa umeme wa magari, then kuuza spare au accessories za magari...
Graduate mlioenda VETA mnaendeleaje?
Tarehe 7 Agosti 2025, Waziri Mkuu wa wakati huo, Kassim Majaliwa, aliwataka wazazi na walezi kuhakikisha vijana wanapelekwa kwenye mafunzo ya ufundi stadi...
Sitaki kuwachosha, hebu twende kwenye mada moja kwa moja. Nabii na mtume mkuu wa kanisa la WRC amewaambia wafuasi wake na jamii kwamba kufunga ndoa kanisani ni upagani.
Mtume huyo, ambaye ni...
Usisite kumtamkia matamshi mema mtoto wako ili akape kufunikwa na damu ya Yessu, na roho mtakatifu ili aweze kufanya mtihani wake vyema na kuibuka kidedea.
Wale mliiopeleka watoto st kayumbani...
Wakuu,
Tunaposema kuwa Wachina ni existential threat kwa jamii yetu ya kitanzania huwa tunamaanisha
Hapa ni GUangdong Hotel, Dar Es Salaam, huyu jamaa kasimamishwa getini anakatazwa kuingia...
TAARIFA KWA UMMA
DEREVA ALIYEKUWA ANAENDESHA GARI HUKU AKICHATI, KUTOA
LUGHA CHAFU ATIWA MBARONI
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia, Sabatho Malima Emmanuel, mwenye umri wa miaka 32 na...
Huyu kaka amezungumza ukweli mtupu, tunajiachia sana siku hizi na hapo ndio tunaboronga tunakua manungaiyembe.
Tujitunze kuzuia kunenepeana japo maisha yamebadilika teknolojia imerahisisha maisha...
Wakongwe wenzangu naombeni mwenye vitabu hivi soft copy anitumie dm au kama ni hard copy basi mnijuze vinapopatikana.
Ukisoma hivi vitabu unapanua uelewa kama Lissu , Mshana JR, Khalifa na...
Ndugu zangu,
Leo tuseme wazi. Kuna watu wengine sio binadamu wa kawaida. Ni Kaini.
Kaini hakumpiga Abeli kwa sababu Abeli alikuwa mbaya. Alimpiga kwa sababu sadaka yake ilikubaliwa.
Mafanikio...
Nina ndugu yangu wa damu humu JF, mama na baba mmoja. Amekata mawasiliano na ndugu wote toka mwaka 2022. Kila namba yake ikipigwa haipatikani toka kipindi hicho.
Binafsi kama kaka yake mara ya...
Haya majanga sasa yapo hata kwa watu wasafi tena wakishua ni vigumu kukwepa hadi kufikia miaka 45 yaani hata U.T.I itakuonja tu kwasababu ya ngono (MSHUKURU MUNGU KAMA HUJAWAI PATWA NA GONJWA LA...
When you make bad choices and you get bad results. This is not because of Satan or any secret society.
This is your own ignorance, stupidity, negligence and carelessness in decision making.
The...
Habari za ijumaa!
Leo sina mambo mengi.
Ukishakuwa mperuzi wa JF mara kwa mara. Kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukamezeshwa Doctrines humu ndani. Kuna uwezekano mkubwa ukawa moja ya mwanachama bobevu...
▪︎ Atoa rai kwa Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya mafuriko
▪︎ Aagiza ndani ya Septemba kutangazwa zabuni ya ujenzi wa barabara km 11 za Igauri–Ilongero
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba...
Mwanafunzi wa UDSM , semister imeisha akaamua kubaki Dar kutoa ushamba na kufanya Filed kiwanda cha kusafisha maji taka Tabata Dampo.
Pichani ni jioni baada ya taarifa ya Habari , Shem na Mumewe...
Makamu wa Rais mteule ambaye anatarajiwa kuapishwa Leo aliyechukua nafasi ya Emmanuel Nchimbi aliyejiuzulu
Mungu ameonionyesha kuwa kabla ya 2030 atakuwa Rais kamili
Watu wa mtandao hawalali...
kufichua hazina zilizofichwa na wanadamu au roho, na kuzifanya ziletwe kwa anayeomba. Kabla ya mwito wowote, chora duara ardhini na usimame katikati useme 👇
Ninawaapisha, enyi pepo mnaokaa...
Habari wakuu,
Kuna windfall nilipata sehemu fulani, nikapiga mshindo wa 75m. Nimeamua kujilipua na kununua hisa za NMB za 70m kwa bei mpya ya leo baada ya split ambayo NMB walifanya, nimenunua...