Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,183
- 26,559
Wakongwe wenzangu naombeni mwenye vitabu hivi soft copy anitumie dm au kama ni hard copy basi mnijuze vinapopatikana.
Ukisoma hivi vitabu unapanua uelewa kama Lissu , Mshana JR, Khalifa na Jenerali Ulimwengu.
Kitabu kipi bado hujasoma kati ya hivi?
1.Salamu toka kuzimu (Ben Mtobwa)
2.Tutarudi na roho zetu (Ben Mtobwa)
3.Najiskia kuua tena (Ben mtobwa
4.Mtambo wa Mauti
5.Zawadi ya Ushindi
6.Malaika wa Shetani
7.Noti Bandia
8.Mikononi mwa Nunda
9.kiguu na Njia
10.Ligi kuu ya Huba (George iron Mosenya )
11.Kikao Cha wazazi (George Mosenya)
12.Taarifa ya Msiba (George Mosenya)
13.TOBI ( Abyas Mzigua )
14.Lijendi Mgalilaya ( Abyas Mzigua )
15.Jeshi la Akiba (George Mosenya )
16.Mwaliko wa Harusi
17.Alfu Lela ulela (kitabu 1-5)
18.Rosa mistika (Ephrace kezilabi)
19.Baba tajiri baba maskini
20.Hadithi ya Allan Quaterman (Umslopagaaz)
21.Mashimo ya mfalme Suleman
22.Adili na nduguze (Shaban Robart)
23.Tajiri wa Babeli
24.Alladin na taa ya ajabu
25.Alibaba na wezi 40
26.Njama (E.Musiba)
27.Kikomo (E.Musiba)
28.Safari ya Bulicheka na mkewe
29.Hekaya za Abunuasi
30.Kisiwa Chenye hazina
31.Shamba la wanyama
32.Nyayo za mwendo wa binadamu
33.Kusadikika (Shaban Robart)
34.Kufikirika (Shaban Robart)
35.Mapenzi bora (Shaban Robart)
36.Kiongozi
37.Kinjekitile
38.Theluji ya Kilimanjaro
39.Kisa cha sungura alieitwa Peter
40.Nyayo za mwendo wa binadamu
41.Kibwe katika safari ya Ajabu
42.Safari saba za Sindbad
43.Mkimbizi (Hussein Issa Tuwa )
44.Kikosi cha siri
45.Before i die
Ukisoma hivi vitabu unapanua uelewa kama Lissu , Mshana JR, Khalifa na Jenerali Ulimwengu.
Kitabu kipi bado hujasoma kati ya hivi?
1.Salamu toka kuzimu (Ben Mtobwa)
2.Tutarudi na roho zetu (Ben Mtobwa)
3.Najiskia kuua tena (Ben mtobwa
4.Mtambo wa Mauti
5.Zawadi ya Ushindi
6.Malaika wa Shetani
7.Noti Bandia
8.Mikononi mwa Nunda
9.kiguu na Njia
10.Ligi kuu ya Huba (George iron Mosenya )
11.Kikao Cha wazazi (George Mosenya)
12.Taarifa ya Msiba (George Mosenya)
13.TOBI ( Abyas Mzigua )
14.Lijendi Mgalilaya ( Abyas Mzigua )
15.Jeshi la Akiba (George Mosenya )
16.Mwaliko wa Harusi
17.Alfu Lela ulela (kitabu 1-5)
18.Rosa mistika (Ephrace kezilabi)
19.Baba tajiri baba maskini
20.Hadithi ya Allan Quaterman (Umslopagaaz)
21.Mashimo ya mfalme Suleman
22.Adili na nduguze (Shaban Robart)
23.Tajiri wa Babeli
24.Alladin na taa ya ajabu
25.Alibaba na wezi 40
26.Njama (E.Musiba)
27.Kikomo (E.Musiba)
28.Safari ya Bulicheka na mkewe
29.Hekaya za Abunuasi
30.Kisiwa Chenye hazina
31.Shamba la wanyama
32.Nyayo za mwendo wa binadamu
33.Kusadikika (Shaban Robart)
34.Kufikirika (Shaban Robart)
35.Mapenzi bora (Shaban Robart)
36.Kiongozi
37.Kinjekitile
38.Theluji ya Kilimanjaro
39.Kisa cha sungura alieitwa Peter
40.Nyayo za mwendo wa binadamu
41.Kibwe katika safari ya Ajabu
42.Safari saba za Sindbad
43.Mkimbizi (Hussein Issa Tuwa )
44.Kikosi cha siri
45.Before i die