Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ripoti ya The Economist Intelligence Unit (EIU) kwa kushirikiana na mashirika ya Umoja wa Mataifa kama UN Women na UNFPA inasema kuwa ukatili unaochochewa na teknolojia na mifumo ya Akili Unde...
1 Reactions
2 Replies
166 Views
Kuna moja nilikuwa nikiiamini na kujivunia nayo kila mara ndani na nje ya ninapokuwa ila nasika sasa ni choka mbaya.
0 Reactions
1 Replies
34 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema kuwa, zoezi la kubadilisha tahasusi na kozi za vyuo vya kati kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne mwaka 2025...
2 Reactions
1 Replies
465 Views
VITA YA AKILI UNDE (AI) NI KUBWA KATI YA MATAJIRI Kwa sasa bidhaa adhimu katika sekta ya teknolojia ni Akili Unde (AI) ambayo ukiitazama kwa umakini utaona kua dunia ijayo ni dunia itakayoendeshwa...
0 Reactions
2 Replies
632 Views
https://www.jamiiforums.com/threads/ukosefu-wa-vifaa-kwa-wapima-ardhi-land-surveyors-ni-sababu-kuu-ya-kuwa-na-gharama-kubwa-katika-upimaji-ardhi.2446047/ Yani nimesma huu uzi nikajihisi kama niko...
3 Reactions
1 Replies
88 Views
Wakuu salamuni. Nimeamua kuanzisha huu uzi baada ya kuona hii hali imeanza kunipa usumbufu mkubwa kwenye maisha yangu ya kila siku. Kuna baadhi ya vitu navifanya kwa kurudia rudia sana kiasi...
5 Reactions
52 Replies
603 Views
Habari zenu wanaJF, natumaini nyote mnaendelea na pirika za kila siku kwa ajili ya familia na ujenzi wa taifa. Twende kwenye hoja yangu direct! Swali langu ni kwamba "Ni lini serikali itapanua...
3 Reactions
25 Replies
326 Views
Habari ndugu watanzania, Naiomba serikali yangu tukufu iliangalie hili jambo ambalo mgodi wa barrick north Mara unatangaza wazi wazi kuiweka mahakama ya tanzania na serikali mfukoni kwamba...
6 Reactions
81 Replies
2K Views
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilemela, Dkt. Maria Kapinga amesema baada ya kuona wito wa Mdau wa JamiiForums.com kuhusu kufuatilia utendaji na mazingira ya Kituo cha Afya Optimisim Dispensary baada...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Mheshimiwa Raie John Pombe Magufuli, Heri ya X Mass , Bwana yesu kazaliwa na amezaliwa kulegeza palipo kaza, Mungu akulegezee palipo kaza watanzania walegezewe pia, Mungu akubariki usiyakubali...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetoa muda wa wiki moja kwa waendeshaji wa daladala kuacha kupakia na kushusha abiria katika maeneo yasiyoruhusiwa ndani ya...
2 Reactions
11 Replies
324 Views
1. Teknolojia na ubunifu Israel inajulikana kama "Startup Nation" kwa sababu ina kampuni nyingi za teknolojia na ubunifu. Sekta kama: Programu za kompyuta Usalama wa mtandao (cybersecurity) Akili...
8 Reactions
41 Replies
579 Views
👉 Wanaharakati uchwara wanakuhamasisha uandamane kwa maneno makali, lakini wakati wa hatari hawapo mbele ya mstari. Wao wanabaki salama huku wakisubiri kuona nani ataumia na nani atanaswa...
0 Reactions
3 Replies
102 Views
👉 Meja Jenerali Francis Ronald Mbindi ni miongoni mwa maofisa waandamizi wenye uzoefu mkubwa katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Akiwa wakili kitaaluma na mwanajeshi mwenye...
2 Reactions
3 Replies
192 Views
2024 military strength ranking: 1. 🇺🇸United States 2. 🇷🇺Russia 3. 🇨🇳China 4. 🇮🇳India 5. 🇰🇷South Korea 6. 🇬🇧United Kingdom 7. 🇯🇵Japan 8. 🇹🇷Turkey 9. 🇵🇰Pakistan 10. 🇮🇹Italy 11. 🇫🇷France 12...
5 Reactions
77 Replies
7K Views
Kama wakristo wanasherehekea mwaka mpya, ni halali na kwa waislamu kusherehekea mwaka mpya wa Hijri. Hii ndio miezi katika kalenda ya hijri 1. Muharram (Mwezi wa kwanza na ni miongoni mwa miezi...
1 Reactions
25 Replies
366 Views
Anastazia alikuwa mwenye ndoto ya kuwa mwanasiasa mkubwa. Alizaliwa akiwa na kasoro ya kimwili kwenye uso wake, lakini hakuwahi kuruhusu hali hiyo imzuie kutimiza ndoto yake na kushiriki shughuli...
4 Reactions
9 Replies
196 Views
"Hakuna mchezaji bora atakayetokea zaidi ya Pele kwa sababu mama yangu hana mpango wa kuzaa tena" hii ni moja kati ya kauli tata alizowahi kutoa Pele. Anaitwa Edson Arantes do Nascimento unaweza...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Tukiachana na hizi trends za tall dark/white handsome na kila mwanamke kudai kuwa na ndoto ya kudate na mwanaume mrefu. Even though kuna wanaume ambao unakuta tunawaweka kwenye kundi la wafupi...
3 Reactions
30 Replies
546 Views
Back
Top Bottom