Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Maisha ni safari yenye mafanikio, majaribu, furaha na huzuni. Mara nyingi tunawaona watu wakitabasamu mbele yetu na kudhani kwamba kila kitu kinaenda sawa katika maisha yao, lakini ukweli ni...
15 Reactions
43 Replies
552 Views
Ndugu zangu habari ya hasubuhi. Wapo manabii wengi ambao wamekua wakitabiria mambo mbalimbali kuhusu nchi yetu Tanzania ,jambo la kushangaza unabii wao huwa wanaoneshwa mambo mabaya tu Wanaweza...
2 Reactions
7 Replies
96 Views
Habari, leo nikiwa na kagua nijue nadaiwa kiasi gani cha maegesho ya gari gafla nakuta na daiwa sh 60000 ya makosa barabani , sijui niliandikiwa wapi na lini ! Huu utaratibu ukoje ? Naweza peleka...
7 Reactions
69 Replies
2K Views
Leo nimenunua kifurushi kwa kutumia M-pesa kupitia menu ya vodacom ambapo walieleza wazi kuwa mteja atarudishiwa sh 75 baada ya ununuzi.Nimefuata maelekezo yote na nimekamilisha muamala,lakini...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
✍️Mara nyingi tunapozungumzia taharuki au vurugu wengi hufikiria ni suala la kisiasa pekee . Lakini ukweli ni kwamba nyuma ya matukio hayo huwa kuna kundi la wahalifu wanaosubiri mazingira ya...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
mida hii nimetoka nje kwenda washroom.Ila cha ajabu nmemuona mwanamke akiwa uchi wa mnyama ameshikilia vifurush sijui anafanya nn...
6 Reactions
47 Replies
739 Views
Waefeso 1:7 Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake. Yesu kristo alijitoa sadaka pale msalabani ili kukomboa ulimwengu na...
7 Reactions
14 Replies
244 Views
Habari wakuu naomba mwenye kuweza kunisaidia hospital Bingwa nitakayoweza kufanyiwa vipimo na kutambua aleji ya vitu vinavyonitesa Ninakuwa na mafua na pua kuziba na kusababisha koo kuwa na...
3 Reactions
22 Replies
278 Views
Twisheni au Masomo ya ziada ni jambo la kawaida hapa Tanganyika na sasa limeshuka mpaka shule za "vidudu". Wazazi wamekuwa wavivu kuwafunza watoto wao stadi za maisha na sasa wanapeleka wakalelewe...
2 Reactions
0 Replies
80 Views
Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha Mkoani Pwani imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya Barabara kutoka Sheli hadi Mpigi na ile ya kuelekea Tankini na Muheza katika Kata ya Mailimoja kwa kusema kuwa...
1 Reactions
4 Replies
145 Views
1. Watu kupotea mfano Balozi polepole ,Mdude nk. 2. Vurugu siku ya uchaguzi mkuu.watu 518 walipoteza Maisha. 3. Mfumko wa bei kutokana na migogoro ya kimataifa na kupanda kwa bei ya mafuta 4...
1 Reactions
1 Replies
106 Views
Uponyaji upo ndani mwako,ukifika level ya pili ya ufahamu magonjwa, umasikini, wachawi,tamaa ya ngono,ulevi na negative energy zote ukaa mbali na wewe kwa sababu wewe ni adui.
3 Reactions
16 Replies
249 Views
Katika maeneo mbalimbali nchini, hususan kwenye miji mikubwa kama Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na mingineyo, ni jambo la kawaida kuona mabomba ya kusambaza maji safi yakipita ndani au pembeni mwa...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakari Zubeir Ally, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kumshawishi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
3 Reactions
18 Replies
317 Views
guest-1788672427
Novena ya Bikira Maria mfungua mafundo mwenye soft copy naomba anisaidie tafadhali
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Mimi nipo Wilaya ya Ruangwa. Miradi mingi iliyozinduliwa na mwenge imekomea palepale bila kumaliziwa. Mfano ni kituo cha afya Chienjere na Shule ya Sekondari Namakuku. Miundombinu hii...
0 Reactions
1 Replies
103 Views
Leo nimepata bahati ya kukutana na rafiki ambaye tumezaliwa sehemu moja. Yeye ni daktari na alisomeshwa kwa nguvu ya wazazi wake kiufupi wanajiweza. Elimu yake kasomea nje ya nchi.Alipo maliza...
1 Reactions
3 Replies
99 Views
High frequency(aura) ni energy au uwezo ambao mtu anakuwa nao kutoka kwa Mungu( God) au presence of God within. Kwa nini watu hawa wana high frequency ni sababu ya pure heart(upendo) sehemu...
6 Reactions
6 Replies
752 Views
Anonymous
POLISI MNISAIDIE KUNA HII NAMBA 0681317339 TANGU JANA ANAMTISHIA NDUGU YANGU. KAJITAMBULISHA NI ASKARI MAGEREZA. TANGU JANA ANAMSUMBUA. PAMOJA NA KUMPIGIA NA KUMUONYA KISTAARABU BADO KAENDELEA...
4 Reactions
9 Replies
232 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa...
3 Reactions
9 Replies
254 Views
Back
Top Bottom