Hiki ni Kituo cha Afya, Kata ya Masanze, Mkoani Morogoro ambapo sehemu ya huduma imegeuzwa kuwa ya mifugo licha serikali ya Kijiji na kata kutoa taarifa lakini hakuna hatua yoyote inayochukuliwa...
Kwa jinsi dalili zinavyoonesha na mengine yanayo fanywa.
Nimekumbuka muungano wa Afrika mashariki ulivyovunjika na kujikuta vitu vyote vilikwenda kenya.
Kwa ili linavyoendelea kiufupi...
Interesting timing.
As debate continues around S.4577, senior U.S. and Tanzanian officials are meeting to discuss strengthening bilateral relations, preserving shared interests, and advancing...
Hii taarifa iliyosemwa na msemaji serikali na katibu mkuu wa wizara ya habari na michezo kusema kuwa watakaokotwa wakiwa maiti siyo nzuri
Hivi msemaji wa serikali hajui uwepo wa vyombo kama...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefafanua hoja iliyotolewa na Mdau wa JamiiForums aliyelezea kuwa Mkandarasi raia wa China anayejenga soko hilo hawasilishi michango ya Wafanyakazi wake katika...
Unakaza mpaka misuri ya shingo ukipiga Kelele ukihubiri mifumo ya haki na demokrasia lakini kiuhalisia ulaji unataka ukilitimba,uongo na uzandiki.
Maisha kiukweli yanataka haki na usawa pasipo...
Mwanafunzi wa kike akipata mimba halafu mwanaume aliyempa hiyo mimba akipatiakana na hatia na kisha kufungwa miaka 30 basi mimba hiyo mimba itolewe tu!
Nayasema haya kwa sababu Leo hii kumekuwa...
Naandika haya bila aibu ili kuokoa uhai wa mama yangu mkubwa. Mama yangu mkubwa ana umri wa miaka 68, amewahi kufanyiwa upasuaji mara tatu. Ni takribani mwaka wa pili sasa anahsi maumivu ya...
Baada ya Zanzibar kufungwa 3 nunge na Uganda, ifike kipindi wawe wanachukua wachezaji wa Tngayika ili kuenzi mpira wetu na undugu wetu mzuri wa miaka kwa miaka!
Omba omba wengi tiulizoea wakitoka mikoa ya Dodoma. na Singida , sasa wanatoka Mwanza na mikoa mingine kasoro Kilimanjaro na Arusha, yaani Hakuna Mchaga omba omba!
WAOSHA MAGARI: Hawa watu...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema kwa sasa nauli ya mpito kwa mabasi ya mwendokasi kwa baranara ya BRT 1 Kimara, Morocco pamoja na ile ya BRT 2 inayohusisha Mbagala hadi Kivukoni...
Mwandamo amekua akitoa vitisho kwa watanzania watakao andamana hio tarehe 7/7 lizee lizima linapewa maagizo limenunuliwa toy kama litoto
Wamedhamilia kuua tena hio tarehe saba kisa madaraka huyo...
Hivi tangu lini ukamuona msemaji wa Serikali wa Marekani anasimama na kuanza kuchamba raia au wafanyakazi wengine?
---------------------
Nimesikiliza speech ya Msigwa jana yaani amenikera...
Sitaki kuingia kwenye dini sio sehemu yangu.
Hapa na zungumzia wale wakina Nuhu wakutaka kuwajengea safina.
Wanaopigania nchi na vizazi vyenu kwa mislahi yenu mnawaona sio...
Salaam to everyone,
And hopefully all of you are doing alright.
Kichwa cha habari kinajieleza.
Kwenye maisha kuna muda Hofu ni hisia zisizokwepeka. Hisia hizi ukishindwa kuzizuia na...
Maisha ni safari yenye mafanikio, majaribu, furaha na huzuni. Mara nyingi tunawaona watu wakitabasamu mbele yetu na kudhani kwamba kila kitu kinaenda sawa katika maisha yao, lakini ukweli ni...
Ndugu zangu habari ya hasubuhi.
Wapo manabii wengi ambao wamekua wakitabiria mambo mbalimbali kuhusu nchi yetu Tanzania ,jambo la kushangaza unabii wao huwa wanaoneshwa mambo mabaya tu
Wanaweza...
Habari, leo nikiwa na kagua nijue nadaiwa kiasi gani cha maegesho ya gari gafla nakuta na daiwa sh 60000 ya makosa barabani , sijui niliandikiwa wapi na lini ! Huu utaratibu ukoje ? Naweza peleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.