Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

'Wamkamate Kihongosi akaieleze Polisi kikao cha siri cha CHADEMA kilikaa wapi kupanga vurugu' Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameyasema haya Juni 17, 2026, kupitia mkutano wake na waandishi...
2 Reactions
5 Replies
196 Views
SUMAJKT imekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi millioni 50 katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo, Kitengo cha Mama na Mtoto, ikiwa ni sehemu ya mchango wake katika kuboresha...
1 Reactions
0 Replies
88 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Serikali itaendelea kusimamia utekelezaji wa Sheria dhidi ya vitendo vyote vinavyokiuka maadili, mila na desturi za Kitanzania, ikiwemo...
1 Reactions
25 Replies
444 Views
Anonymous
Naomba mamlaka husika zifuatilie na kujiridhisha kuhusu uhalali wa maegesho ya malori makubwa aina ya semi-trailer katika eneo la makazi lililopo Folkland, Lumo, Vituka, karibu na Nyumbani Lodge...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Eneo la Sinza C, hususan karibu na Chuo cha Sheria, ni miongoni mwa maeneo yanayokumbwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji. Wananchi wanalalamikia ukosefu wa maji wa mara kwa mara, huku...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Anonymous
Tunaomba mamlaka husika ziingilie kati kuhusu mradi wa maji uliotekelezwa katika Kijiji cha Losikito, Kata ya Mwandeti, Wilaya ya Arusha DC, ambao ulitengewa bajeti ya takribani Shilingi bilioni...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Mnamo Mei 2016, kampuni ya vipodozi ya nchini China iitwayo Shanghai Leishang ilirusha tangazo la kidijitali la Sabuni ya kufulia wa Qiaobi, ambalo lilishtua ulimwengu mzima kwa ubaguzi wa wazi wa...
1 Reactions
6 Replies
242 Views
Katika mazingira ya kazi ya leo, ujuzi wa Microsoft Office na Excel si jambo la ziada tena bali ni hitaji muhimu kwa wafanyakazi, wafanyabiashara na wanafunzi. Changamoto kubwa kwa wengi ni...
2 Reactions
11 Replies
241 Views
Kombe la dunia linaendelea watu wengi wamekuwa wakishangaa vile viwanja vya marekani vilivyokuwa vikubwa na vizuri Na hapo pia kuna viwanja vingi sana vya college ambavyo havijatumika mfano...
1 Reactions
45 Replies
473 Views
Tume ya TEHAMA (ICTC) inatarajia kufanya hafla ya utoaji wa Tuzo za TEHAMA (TEHAMA Awards 2026) mnamo Julai 15, 2026 katika ukumbi wa The SuperDome uliopo jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Kwenye katika mpya sio Raisi tu kiongozi yeyote ambaye ataonekana alitumia mamlaka vibaya ashtakiwe na kama kufungwa afungwe . Wenye nafasi za uongozi wekeni data vizuri kuna mda itafika katiba...
2 Reactions
13 Replies
178 Views
Ladha ya maisha unaipata kwenye nini? Watu husema bila afya, maisha hayana ladha Wengine husema bila pesa, maisha hayana ladha Kuna wanaokunywa pombe wakiamini ndiyo njia ya kuonja ladha ya...
25 Reactions
239 Replies
3K Views
Mwezi January mwaka huu 2026, kampuni ya mabasi ya mwendokasi MOFAT ilituma ombi kwa LATRA kwamba walikuwa wakipata hasara ruti ya Mbagala kutokana na uwepo wa bajaji, bodaboda na daladala. Sisi...
2 Reactions
16 Replies
417 Views
Anonymous
Katika Mkoa wa Mwanza, Kata ya Kirumba, kuna kituo cha afya kinachoitwa Optimisim Dispensary ambacho kinakabiliwa na malalamiko makubwa kutoka kwa wananchi na hata baadhi ya wafanyakazi wake...
1 Reactions
2 Replies
252 Views
Ripoti ya The Economist Intelligence Unit (EIU) kwa kushirikiana na mashirika ya Umoja wa Mataifa kama UN Women na UNFPA inasema kuwa ukatili unaochochewa na teknolojia na mifumo ya Akili Unde...
1 Reactions
2 Replies
166 Views
Kuna moja nilikuwa nikiiamini na kujivunia nayo kila mara ndani na nje ya ninapokuwa ila nasika sasa ni choka mbaya.
0 Reactions
1 Replies
34 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema kuwa, zoezi la kubadilisha tahasusi na kozi za vyuo vya kati kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne mwaka 2025...
2 Reactions
1 Replies
465 Views
VITA YA AKILI UNDE (AI) NI KUBWA KATI YA MATAJIRI Kwa sasa bidhaa adhimu katika sekta ya teknolojia ni Akili Unde (AI) ambayo ukiitazama kwa umakini utaona kua dunia ijayo ni dunia itakayoendeshwa...
0 Reactions
2 Replies
632 Views
https://www.jamiiforums.com/threads/ukosefu-wa-vifaa-kwa-wapima-ardhi-land-surveyors-ni-sababu-kuu-ya-kuwa-na-gharama-kubwa-katika-upimaji-ardhi.2446047/ Yani nimesma huu uzi nikajihisi kama niko...
3 Reactions
1 Replies
88 Views
Back
Top Bottom