Kuna uhaba mkubwa sana wa Maji maeneo ya Kwa Msuguri, Dar. Ni zaidi ya wiki tatu Sasa maji hayatoki na bili zinaletwa.
Watu tunanunua maji Kwa gharama kubwa.
Au ni mbinu ya DAWASA ili watu...
SWEDEN VS DENMARK
JE WAJUA
MANENO MATATU YA KWANZA
SWE
NA MATATU YA KWANZA
DEN
UKIUNGA UNAPATA
SWEDEN
NA MANENO MATATU YA MWISHO KILA MOJA UNAPATA DENMARK
DEN
MARK
Kuna jambo ambalo sijalielewa kuhusu uendeshaji wa treni ya mwendokasi (SGR) kati ya Dar es Salaam na Morogoro.
Kwa kawaida, safari hii hutumia treni yenye behewa 14 (ordinary). Hata hivyo...
Wahusika wa usambazaji wa Fiber kazi yenu nzuri ila imekuwa kero, nguzo zenu zinadondoka sana, nyaya zenu zinalegea mno, hebu fanyeni kitu ziwe sawa, vinginevyo tutaanza zikata ili mje kuweka...
Kuna malalamiko kutoka Kijiji cha Mwamapuli, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe mkoani Katavi, kuhusu geti linalodaiwa kukusanya ushuru wa mazao kinyume na taratibu.
Kwa mujibu wa wanaotoa taarifa...
Kuna majaribio ambayo naona wengi watakufa na kweli mtakufa .Hii serikali inawezekana kuna pesa zina kwenda META.
Leo data analysis inaonyesha META kabla ya kufanya kuijadili CCM inapita CCM ku...
Kuna mzee hapa JF ni mzee wetu ana mchango mkubwa wa kutupa historia ya uhuru wa tanganyika na waliofikisha naombeni mtag.
Ila kwa kuwa ndio wajanja wakatumia njia hiyo kuonesha wao hakuna...
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Bishop Bikira iliyopo Kata ya Nyakato Tarafa ya Bugabo Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, amekutwa amefariki dunia, baada ya kujinyonga kwa...
Salaam,
Bila porojo, inatokea nyakati feed imejaa threads zote umeshazisoma au uliziruka kwa kutovutiwa nazo, mtu unascrow hata nusu saa hakuna nyuzi mpya ni zile zile,
siamini kwamba eti nyuzi...
Mimi ni miongoni mwa watu waliozaliwa kipindi ndondi ndio mchezo mama wa dunia, mchezo uliobebwa na majina makubwa kama Mohamed Alli hadi kufikia Mike Iron Tyson mtu hatari kwenye uringo wa...
Arusha. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na wasimamizi wa mirathi ya marehemu mfanyabiashara Zacharia Hans Poppe, pamoja na kampuni ya ZH...
Ndugu zangu habari?
Bunge letu linajadili nini kwa sasa? Maana mijadala mingi ninayoiona ninapoingia especially mitandaoni ni Tanganyika na Zanzibar na masuala ya Muungano.
Hivi wabunge wanajua...
Binadamu katika mazingira mbali mbali, hukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa.
Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya.
Kuna waliowahi kuona mtu anamloga...
Yaani, viwanja saa nne asubuhi vimetangazwa vinaamza kuuzwa, Mimi nisha log in dakika 10 kabla.
Viwanja vikaachiwa watu wachague nakiona kabisa kiwanja hiki hapa kimefunguka nikiendelea mbele...
Naomba kuwasilisha kero kuhusu changamoto ya upatikanaji wa maji katika eneo la Bulale, Mwanza.
Wananchi wa Bulale tumekuwa katika hali ya ukosefu wa maji kwa takribani miezi mitatu sasa. Licha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.