Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,085
Kuna maneno hayajatahiriwa.. Haya ndio halisi.. Mengi tunayoongeleshana tumeyatia tohara, tumeyahariri, tumeyaremba na kuyatia nakshi mbalimbali kuleta ladha ama mvuto tuutakao
kulingana na mazingira
Kulingana na nyakati
Kulingana na uhitaji
Jamaa aliwahi kuniuliza kama nimeshawahi kuonja utamu wa bia inayoitwa pombe.. Nikamwambia ndio ni kilevi chenye pombe ya shurubati
Imagine unaamka asubuhi kumbe kumeshakuchwa halafu kila mtu kabeba miguu kichwani anatembelea mikono.. Dunia imechoka sana hii..
Kama tangu kuzikwa kabla hatujazaliwa tungekuwa
Hatujaoga
Hatuja kata nywele zote
Hatujakufa
Hatujasoma..[emoji23] wala kuhomola
Kwamba sasa ndege zinaelea baharini
Mell zinapaa angani
Gari moshi hizoo barabarani
Magari hayoo kwenye reli[emoji1]
Halafu vichochoroni unakutana na wanaume wa kike[emoji31]
Wanyama wote mijini
Binadamu wote mwituni
Samaki angani
Ndege wote majini
Wachawi wote ibadani
Watumishi wote vilingeni[emoji23][emoji23][emoji23]
Mada isiyotiwa tohara hii.. TUSISAMEHEANE TUU