Msaada"" wenu"" wakuu?

Msaada"" wenu"" wakuu?

OTHMAN BEY

Member
Joined
Jun 20, 2026
Posts
74
Reaction score
123
Msaada wenu wakuu kwa yeyote aliewahi kuugua vidonda vya tumbe na akapona atuambie alitumia dawa gani mana vinanisumbua balaa""please msaada wenu wakuu pia hata hujawahi kuugua vidonda vya tumbo toa maoni yako kama una dawa yeyote unayoijua iwe ya aisili au ya

MSAADA WENU
wakuu

CHANGIENI
 
VIkisha komaa hata ufanye nini mtu wangu, its over, unakuwa tu unatuliza symptoms zake.

Ponea yake nikuvitibu mapema (early stages)

UKiwa stage ya kati kati unakuta unapoona vinaamka baada ya miezi au mwaka.

Ili ikiwa konki, aisee utaliwa pesa sanaaaa kutafuta dawa

Stage yako, ni kumantain symptoms, Endelea kutumia dawa za kuituliza lakini pia kula mapema na milo mitatu, kunywa maji sana, lakini pia acha dagaa kabisa, maharage, vidonge vya maumivu ukiwa umeshiba na maji mengi
 
Kapime kama ni h pylori , pata dawa , halafu tumia mlenda wa kinyaturu kwenye mlo wako , mara kwa mara, jiepushe na vyakula vyenye gesi nyingi tu, ndani ya mwaka tu unapona kabisa
 
Na ule kwa wakati!

Mimi nilimeza amoxylin, flagyl na omeprazole
Hapa alijaribu kutengeneza heligo kit ya bei rahisi , hii inaua bacteria wa h pylori tu ila vidonda bado vipo pale pale
 
VIkisha komaa hata ufanye nini mtu wangu, its over, unakuwa tu unatuliza symptoms zake.

Ponea yake nikuvitibu mapema (early stages)

UKiwa stage ya kati kati unakuta unapoona vinaamka baada ya miezi au mwaka.

Ili ikiwa konki, aisee utaliwa pesa sanaaaa kutafuta dawa

Stage yako, ni kumantain symptoms, Endelea kutumia dawa za kuituliza lakini pia kula mapema na milo mitatu, kunywa maji sana, lakini pia acha dagaa kabisa, maharage, vidonge vya maumivu ukiwa umeshiba na maji mengi
Sawa mkuu vitu hvyo maharage mekundu nikigusa tu balaa linaanza vtu vya uchachu nyanya n.k ndo usipime
 
Jipate na vidonda vitakukimbia

Mimi nilikuwa nikila pili pili tatizo lost ya mbilimbi ni shida kabisa

Magonjwa mengi ya wakati huu ni ukumbusho wa sisi kusahau origin yetu

Sisi ni watu wa kula sumu na Ukiona haina shida imeisha hiyo
 
Back
Top Bottom