Papillon 1906
Senior Member
- Jun 19, 2025
- 191
- 663
Kizazi hiki asa hivi hakitumii pombe kabisa labda mtuambie sie baba zenu mnatumia nini nyinyi mibangi au mnapemesa nyie,sio kawaida mtaani watu hawayumbi tena kama zamani na mikao ya pombe imekuwa michache kwanini?
Kwa takwimu za miaka minne iliyopita inaonesha kuwa makampuni ya pombe yamepata hasara ya zaidi billioni 830 hii inaonesha jinsi gani watu wamepunguza kutumia pombe au uchumi unakaba?
Kwa takwimu za miaka minne iliyopita inaonesha kuwa makampuni ya pombe yamepata hasara ya zaidi billioni 830 hii inaonesha jinsi gani watu wamepunguza kutumia pombe au uchumi unakaba?