Habari ya hasubuhi
Ili Tanzania ipate maendeleo ya kweli kuna mambo yanatakiwa yafanyike.Mfano kipindi cha miaka tu tumekopa zaidi ya Trioni 54 lakini ukiangalia miradi ya utekelezaji unaona...
Tuna Wabunge 393 wakikatwa laki 2 tu! kwa mwezi kwenye mishahara yao kwa miaka 5 ni sawa na Bilioni 4.716 hii ni fedha inajenga Zahanati 15 + au Vituo vya Afya 4 Vifaa Tiba Pamoja na Madawa...
Licha ya wateja kulalamika kuhusu matapeli wa biashara mtandaoni lakini pia kuna wateja matapeli.
Kuna rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo sasa kuna siku akapata Delivery Kimara Temboni...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amezitaka Wizara, Idara, Wakala na Taasisi za Umma nchini kuunganisha huduma wanazozitoa kupitia mifumo ya Serikali ya...
Mimi sina maneno mengi ya kuandika ilaa nina huzuni kubwa juu ya taarifa ya msiba juu ya mpendwa wetu Valentina 😭😭
Wengi wetu tunamjua kwa kuunganisha watu na kujenga upendo katikati ya chuki na...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kimetishia kuandaa maandamano ya nchi nzima yenye lengo la kushinikiza serikali kufufua mchakato wa Katiba Mpya na kuachiliwa huru kwa Mwenyekiti wa...
Masikini wanatumia nguvu nyingi sana kutaka kuwaaminisha jamii kuwa ni matajiri, kwa kununua vitu vya anasa anasa visivyo zalisha; mfano, masikini atapambana sana kununua nguo za gharama, mikufu...
Kuna clip inayosambaa mtandaoni na itakuwa inakipindi.
Ukimsikiliza kiufupi unaona kabisa watu wanajipendekeza au kufurahisha kwa kumuona fulani sekta fulani imefanya vizuri.
We ukitaka kujua...
Muda huu unatafuta usafiri urudi nyumbani baada ya kazi ngumu kutwa nzima, umevumilia matusi ya boss na kejeli za wafanyakazi wenzako. Pamoja na yote lakini umeamua kuvaa tabasamu ili urejee...
Kwa hapa Africa maeneo mengi yenye muonekano mzuri ni maeneo ya mijini. Hapo kwenye miji yetu kidogo utakuta kuna mitaa ya kishua, kuna town centre iliyokaa unyama, yani miji yetu huwa na baadhi...
Sisi wananchi wa eneo la Kindimbachini, Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, tunaomba kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu vitendo vinavyodaiwa kufanywa na mmoja wa wahudumu wa afya katika Kituo cha...
✍Mjadala kuhusu sera za kidiplomasia unaendelea kuangazia nafasi ya ushirikiano wa kimataifa katika kuchochea maendeleo ya kiuchumi, biashara na uwekezaji.
Katika mazingira ya uchumi wa dunia...
Wafanyakazi wazawa wanaofanya kazi katika Kampuni ya TBEA inayotekeleza miradi ya TAWA za uvutaji, usambazaji umeme mkubwa kuanzia kipande cha Chalinze, Magubike kuelekea Dodoma, wamemuomba Waziri...
kuna redio iliyowahi kutawala maisha ya vijana wa Tanzania kama Clouds FM enzi zile? Ukiamka asubuhi mapema tayari unakutana na Power Breakfast ya kina Masoud Kipanya,official cza,bonge ,tei khan...
Habarini,lazima mlielewe hilo kila mtu ana maslahi yake kwenye maandamano ya Kiafrika achana na kifuata mikumbo kama huna maslahi basi tuliza makalio home kwako.
Asanteni!!
Habari wana JF na poleni na kazi, duniani ni sehemu ambayo sisi sote tumeweka makazi ya muda na wala si ya milele kwa maana hakuna atakae baki na uhai wake, bali sote tutakufa, kutokana na ahadi...
Wakili Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala amesema kuwa wanakusudia kitafungua kesi ya kudai fidia ya shilingi bilioni 100 dhidi ya Said Issa Mohammed na wenzake pamoja kuwafikisha kwenye...
Kesho kuna kufa na mna kila kitu na kila mtakacho.
Maana kuna watu dunia hii wanaona kifo sio seheemu yao.
Hapa nauliza hizi familia duniani ambazo zinakufa kwa aibu au kuondolewa kwa lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.