Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna mtu aliniuliza, “Unawezaje kuandika kwa mikono miwili kwa wakati mmoja?” Kwa wakati mmoja naweza kuandika mkono wa kulia unaandika story ya kusikitisha, na mkono wa kulia mwingine unaandika...
1 Reactions
25 Replies
272 Views
Msimu huu ambao abiria ni wachache, ukifika Msamvu ukakuta basi la Ifakara wanakudaka chap wanakukatia tiketi. Baada ya hapo, utasubiri saa nyingi hadi basi lijae halafu mnapelekwa Mafiga...
3 Reactions
18 Replies
247 Views
Ni mwanaume aitwae Omary Issa (32) mkazi wa kata ya Twangoma wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam, akiwa anamfunga nepi mtoto wake wakike mwenye umri wa miezi tisa (9), ikiwa ni baada ya mama wa...
3 Reactions
9 Replies
271 Views
Katika ukuaji wangu mimi na mama yangu hatujawahi kuwa na uhusiano mzuri. Mara kwa mara amekuwa akinitamkia maneno ya kejeli na yeye chuki hadi nikawa najiuliza huyu ni mama yangu kweli...
23 Reactions
58 Replies
1K Views
Serikali ilianzisha mfumo wa ESS UTUMISHI Kwa ajili ya kurahisisha utendaji Serikali, katika kipengele cha kupima utendaji wa mtumishi (PEPMIS), Wakuu wa idara Halmashauri ya Kigoma Ujiji hawajui...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Kenya 🇰🇪 plans to link CCTV cameras with the national ID database, allowing police to identify crime suspects faster using facial recognition technology that matches public camera footage with...
3 Reactions
1 Replies
101 Views
Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Kigoma imetoa rai kwa wananchi wanaoishi pembezoni mwa miundombinu ya barabara kushiriki kikamilifu katika kulinda na...
0 Reactions
0 Replies
87 Views
Ilikuwa ikionekana kupitia namba 290, ila sasa ni Wiki ya Pili haionekani tena na sijui tatizo ni nini. Wazalendo wa Kweli wa Tanzania tuliopo nje ya mipaka yetu huwa tunapenda Kuifuatilia...
2 Reactions
6 Replies
202 Views
Aisee mi nasema bwana ni kwamba mwaka huu mwanzoni nilipata mchongo wa kuwekeza sehemu kwenye kilimo. Nikachukua hela sehemu milioni 60 nikaanza kilimo, nimeambulia hasara ambayo sitakuja...
135 Reactions
997 Replies
129K Views
Ni miaka 72 tangu Taifa la Tanzania (Tanganyika & Zanzibar) kukombolewa toka kwenye "utumwa" a.k.a Ukoloni mkongwe. Kama mna ubavu kweli anzisheni harakati za kulikomboa Taifa kutoka kwenye...
0 Reactions
0 Replies
66 Views
3 Reactions
5 Replies
171 Views
Anonymous
Ninaandika kuwasilisha malalamiko yangu rasmi kuhusu kupotea kwa mzigo wangu nilioutuma kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kupitia Kampuni ya Katarama. Mnamo tarehe 14 Juni 2026, niliagiza simu...
2 Reactions
8 Replies
335 Views
Huu mtindo wa Bar nyingi kuwatumia wanawake/ mabinti barmaids kwa kuwavalisha mavazi ya aina fulani ili wawe kama chambo/ kivutio cha biashara zao kingono una tofauti gani na uendeshaji madanguro...
15 Reactions
71 Replies
915 Views
Mpaka mda huu jumapili na hapa JF je .Huyu mbona hakuna tamko la idara wa CCM.Anatumika kama nani.
0 Reactions
10 Replies
226 Views
Braza acha kuvaa sox iliyotoboka kisa familia, mbona watoto na mama yao unajibana unawanunulia nguo. Kwa nini wewe hujifikirii, au unadhani hapa upo kwenye mazoezi ya kuishi ili ukaishi mahali...
6 Reactions
19 Replies
281 Views
Habari ya hasubuhi Ili Tanzania ipate maendeleo ya kweli kuna mambo yanatakiwa yafanyike.Mfano kipindi cha miaka tu tumekopa zaidi ya Trioni 54 lakini ukiangalia miradi ya utekelezaji unaona...
2 Reactions
4 Replies
133 Views
Tuna Wabunge 393 wakikatwa laki 2 tu! kwa mwezi kwenye mishahara yao kwa miaka 5 ni sawa na Bilioni 4.716 hii ni fedha inajenga Zahanati 15 + au Vituo vya Afya 4 Vifaa Tiba Pamoja na Madawa...
1 Reactions
7 Replies
109 Views
  • Redirect
Maji tunauziwa elfu 40k maji hayatoki hata katika zile siku za mgao! DAWASA hamna wanachotusaidia nje na kureport mara nyingi
0 Reactions
– Replies
– Views
Licha ya wateja kulalamika kuhusu matapeli wa biashara mtandaoni lakini pia kuna wateja matapeli. Kuna rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo sasa kuna siku akapata Delivery Kimara Temboni...
0 Reactions
0 Replies
186 Views
Back
Top Bottom