SHAPESHIFTER
Hawa ni watu wenye nguvu kubwa za kichawi. Inaelezwa kuwa hawa ndio watu wenye kuongoza dunia hii. Mataifa makubwa yote yanamilikiwa na binadamu wa aina hii binadamu ambao kidunia...
Kuna kero moja sijajua wenzangu wanaichukuliaje, hizi speaker za wanaojiita WATUMISHI WA DINI hapa Mbezi Luis Stendi ya Daladala it's too much aisee maana huko foleni ya mwendo kasi lakini muda...
Habari wakuu hapa ni Pongwe- Tanga, nashukuru kwa kuripoti changamoto yangu siku kadhaa nyuma, tayari mkandarasi yupo kazini kama mnavyoona, Asanteni na msichoke kuripoti changamoto za wananchi na...
Viongozi wa Serikali katika Kata ya Saranga kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imefanya ziara ya kimkakati ya kukagua hali ya huduma ya maji na...
Sisi vijana tunapenda kuwasilisha changamoto kubwa tunayokumbana nayo katika mchakato wa kubadili majina na kusajili nyaraka husika (Deed Poll/Affidavit) kupitia Wizara ya Ardhi.
Kwa mujibu wa...
Kufungwa kwa mfereji wa Hormuz kumeathiri kwa kiasi kikubwa uchumi wa Dunia jambo ambalo limepandisha bei ya Mafuta na gas karibuni ulimwengu kote hususani Tanzania.
Kwa sasa mgogoro huu upo...
Samahani, tunaomba mtupazie sauti sisi wakazi wa Makuburi kuhusu Kanisa la T.A.G Getsemane Mabibo External. Kwa kweli limekuwa kero kubwa kwa jamii kutokana na matumizi ya sauti kubwa kupita...
Bob Marley alisema; Life is a lord with a lot of signs when you riding through the roots don't complicate your mind,free from hate mis-chief and jealous. Don't burry your thoughts put your vision...
Mindset yangu ni,
Kufocus na biashara,
Nidhamu ya pesa,
Kuwekeza,
Kutunza pesa kabla ya matumizi,
Kutokata tamaa,
Malengo ya muda mrefu,
Kuzingatia bajeti,
Kujenga vyanzo zaidi ya kimoja vya...
Wananchi wa Morogoro katika Halmashauri ya Mlimba, kero yetu kubwa ni Barabara ya Ifakara Mliba imekuwa kero sana Barabara ni mbovu kupita kiasi, hapo ni Chita hali ni kama mnavyoona.
Wananchi wa Mtaa wa Nyabisare, Kata ya Bweri, Wilaya ya Musoma, Mkoa wa Mara, wameendelea kukumbwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama, hali inayowaathiri kwa kiasi kikubwa...
Hakika nimehudhuria ndoa nyingi ila hii ndoa ya jana ilikuwa ni kiboko sana, baada ya rafiki yetu kuwa mgumu sana kwenye kuoa, hatimaye tulifanikiwa kumshawishi aoe, maana ilikuwa kila siku...
Hawamu niliyoshika kijiti, Sikukua na imani na yeyote niliishi kwa mashaka mno, nilijaribu kubadili chaguzi mbali mbali lakini bado nilihisi nina opponent ndani ya ongozi zangu
Ilinichukua mda...
Kisa cha Siku ya Ashura 🤍
Siku ya Ashura ni siku ambayo Allah alimwokoa Mtume Musa na wana wa Israil kutoka kwa Firauni na jeshi lake. Bahari ilipasuka kwa amri ya Allah, Musa na watu wake...
Napenda kuwasilisha waraka huu nikiwa miongoni mwa Walimu wengi nchini ambao wameathirika kwa taarifa zinazotolewa na Chama chetu kuhusu utaratibu wa kupandishwa madaraja kwa kutumia Mfumo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.