chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,034
- 3,076
Kuna mtu aliniuliza, “Unawezaje kuandika kwa mikono miwili kwa wakati mmoja?”
Kwa wakati mmoja naweza kuandika mkono wa kulia unaandika story ya kusikitisha, na mkono wa kulia mwingine unaandika story ya aina nyingine huku wakati huo naangalia au nasikiliza muziki.
Je, wewe una kipaji gani au ulivokua shule ulikuwa na kipaji gani?
Hii nimeandika ili kuhakikisha kila anayesoma achukue muda kugeuza simu juu chini. 😄