Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local? Tunaomba mamlaka ziingilie kati sisi wamiliki wa malori ya local tunapitia wakati mgumu wa biashara kwani gari za transit zimekuwa...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeshiriki katika Mkutano wa 3 wa Kimataifa wa Kimkakati wa Kikanda wa PEN-PLUS unaolenga kujadili na kuimarisha mikakati ya kukabiliana na...
Katika video hii fupi, Yesu anatoa ushauri kwa team kataa ndoa kwa kuwaambia, "Kataeni dhambi, si lazima mkatae ndoa"
Angalizo: Sura zinazoonekana katika video ni matokeo ya Sanaa na siyo...
"Kuondolewa kwangu kama mnavyojua zilianza shida ndogo ndogo zile za Trilioni moja na nusu, halafu Spika Ndugai akaleta mazungumzo yale mpaka mwisho nikahisi tu mimi mwenyewe na unajua Tanzania...
Uongozi Alsaedy High Class tatueni kero za abiria wenu, mtapoteza wateja.
Mimi ni abiria ambaye napenda kutumia usafiri wa bus la Alsaedy high class kwa safari zangu za Dar-Iringa, Iringa-Dar...
Barabara ya Mkuyuni, iliyofunguliwa mapema mwaka huu, inaonekana kujengwa chini ya kiwango kinachotarajiwa.
Ikumbukwe kwamba mwezi Aprili kulikuwa na mafuriko makubwa yaliyosababisha hasara za...
Hongereni Dar es Salaam kwa kuanza kudhibiti kelele za baa zilizopo karibu na makazi ya watu.
Naomba mamlaka husika ziangalie pia hali ya SK Bar & Grill iliyopo Mitimirefu, Mwanza, mkabala na...
Nyumbani papo ila siwez kukanyaga… Kila nifanyacho home wanaona sijafanya kitu, napambana kadri ya uwezo wangu ila maneno ni mengi sana kule. Mimi kama kunguni yan Nikitatua migogoro ndiyo...
Kumekuwa na tabia ya madereva wa daladala kupaki magari na kupakia abiria nje ya vituo hususani kituo kidogo cha mabasi Keko Bora (maarufu tameco), Maduka Mawili na Serengeti kwa daladala...
Wakazi wa mwanza, Nyamagana kwa miaka sasa tunateseka na ubovu wa barabara katika wilaya yetu na hasa barabara kuu ya kuelekea mjini.
Barabara ina mashimo mengi, vumbi na mbovu.
Mradi wa SGR...
Father Solomon Bandiho is a priest of the Diocese of Bukoba
A Tanzanian Catholic priest assigned to an east Mesa church was among five suspects arrested by Mesa police in a sting operation that...
Tanzania hii kama Kuna majimbo yaliyobaguliwa basi ni Jimbo la SUMVE wilaya ya KWIMBA mkoa wa Mwanza. Jimbo hili toka uchagaguzi wa kwanza wa vyama vingi vya siasa Tanzania 1995 mpaka waleo hii...
Uongozi Alsaedy High Class tatueni kero za abiria wenu, mtapoteza wateja.
Mimi ni abiria ambaye napenda kutumia usafiri wa bus la Alsaedy high class kwa safari zangu za Dar-Iringa, Iringa-Dar...
1. WAKO MAKINI NA MAMBO YAO.
Hawataki mchezo kwenye harakati zao za uchawi wakiambiwa lazima upatikane unyayo wa paka basi atamtafuta paka siku nzima na kwa gharama yoyote paka ampate.
Lakini...
Kwa Takrabani mwaka sasa wakazi wa Tabata Tumekua katika Mgao wa Maji kwa siku Tatu ndani ya wiki Jumanne, Jumatano na Alhamisi.
Lakini kwa muda mrefu ratiba zimekua hazifuatwi na mara Nyingi...
Kadri umri unavyozidi kusogea, nimekuja kutambua ukweli mzito kuwa no one knows who you are.
Unazaliwa, unapewa jina, unaanza kufunzwa emotionally, matukio yatokeayo na namna ya kurespond...
Jifunze kusema HAPANA.
Kusema HAPANA ni muhimu kwa sababu si kila kitu kinachokuja kwenye maisha yako kinafaa kubeba muda wako, nguvu zako au akili yako.
Watu wengi wanachoka, wanapoteza focus...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.