Mwaka gani ulikutana na tatizo la afya ya akili na kipi kilipelekea kukutana na tatizo hilo?
Nakumbuka nadhani ilikuwa mwaka 2020 na 2022 nilipata mawazo na msongo mkubwa baada ya kuenea corona...
Huyu jamaa ameendelea kutoa hamasa ya vijana kujituma katika masomo.
Hatimae amekuwa Profesa wa uchumi katika chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Pia soma Martin Chegere ni mmoja wa hazina ya vijana...
Je, umewahi kujiuliza kwa nini watu wengi wanatoa sadaka kwa miaka mingi lakini maisha yao bado yamekwama kwenye umaskini, hofu, na madeni?
Wengi wanaelewa sadaka ni kama biashara ya...
Mahali popote mbali na nyumba kutoa mkoa wako wanataratibu zao za kuishi kijamii watu wengi wanashindwa kuishi sehemu nyingine kwasababu wameshindwa kufuata taratibu za mahali huko
Iko hivi mfano...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge, amesema kuwa kuna makosa yaliyofanyika katika matumizi ya eneo la wazi la Biafra, Kinondoni, ambalo limeanza kutumika kwa shughuli tofauti...
Malengo makuu ya miundombinu ya mabasi ya mwendokasi (BRT) ni kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri wa haraka na salama jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo, lengo hili linahujumiwa...
Hivi nyie wanaume mnaojaza watoto mitaani bila mpango mnafikiria kweli? Eti kila mtoto anakuja na sahani yake au baraka zake. Sahani gani hiyo? Mtoto anahitaji maandalizi, sio maneno ya...
Jaman kuhusu maji Kata ya Nyampande Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza ni janga kubwa, tuna mabomba ila maji ni kitendawili, Waziri kaja Mwanza jiji, viongozi wetu wanajua lakini bado hawajatatua...
Wakuu,
Kuna dada ameshea story yake juu ya mambo aliyokuwa anafanya chuoni kutokana na mkumbo na tamaa, mambo yaliyopelekea anajutia mpaka kesho na kuwaasa mabinti kuwa makini. Mwenye sikio na...
Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amependekeza kila mwendesha bodaboda nchini achangie shilingi 1,000, hatua ambayo imeendelea kuzua mjadala bungeni na miongoni mwa wadau mbalimbali...
Habari wanajamvi... na samahani kwa habari isiyo ya kicelebrity... Naomba msaada wa kutajiwa jina na maeneo ya vituo vya Kulea watoto yatima vinavyopatikana jijini Dar. Natanguliza shukrani za...
Imekuwa ni tabia endelevu, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa MAWENZI. Watumiehi wake wamekuwa wakifanya kazi kwa mazoea katika idara zote kwanzia Emergency hadi Mochwari.
Chumba cha kuhifadhia maiti...
"Maamuzi toka juu yalichangia kwa 99.9% kwa kilichotokea, Mhusika Mkuu aombe Radhi bila ya kuona Aibu au kuona kuwa atajishusha Hadhi na ahakikishe wale Wote waliotekeleza wanakamatwa na Sheria...
Nimeona watu wakinusurika kugongwa na magari, huku pia madereva wakinusurika kupata ajali katika junction ya mataa ya Biafra, Kinondoni. Hali hii inatokana na taa za kuongozea magari kutofanya...
Mimi sio mchelzaji wa mpira bali ni shabiki wa mpira, natamani sana wachezaji wetu katika kipindi hiki wajifunze mbinu na maarifa ya mchezo wa mpira unao onyeshwa na timu mbalimbali.
Huu ni muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.