Leo tuanze kuangalia contact zilizomo kwenye simu zetu au tulipo weka kwa njia tujuazo.
Kuna watu wanajisifu kuwa na namba za watu mfano kiongozi ,matajiri,wenye vyeo na n.k
Lakini hizo namba...
Nimewekeza zaidi ya shilingi milioni 40 katika bima ya maisha (life insurance) kupitia Jubilee Insurance, kwa matumaini ya kuwa na usalama wa kifedha wa baadaye.
Hata hivyo, kwa sasa sina ajira...
Akili za kuambiwa changanya na zako ujiulizi kwanini 7/7 siyo jana au leo acha wasagane wamalizane mikusanyiko huwa sokoni, mashuleni, vituo vya usafiri, mahospital, wakiwakosa mtaani wataenda uko...
Mara nyingi utasikia watu wakisema, Huyu anatumika na watu fulani, au Huyu anatumiwa tu.
Lakini swali linakuja, kutumika ni nini hasa?
Kipengele A:
Kutumika kwenye mahusiano
Kwenye...
Mpaka sasa bado nawaza kazi ya DP WORLD kwa sababu kama mwekezaji hamna anachofanya zaid ya kuongeza gharama kwa wananchi.
Serikali inawekeza ili yeye achukue mapato bila kutoa hata senti yake...
Lissu alivyofikishwa Mahakamani kwa ajili ya usikilizaji wa Rufaa ya upande wa Jamhuri
Baadhi ya viongozi wa Chadema na watu wengine wakiwa kwenye ukumbi wa Mahakama
Tundu Lissu alivyoingia...
Tuna taasisi za serikali zimefanya biashara kuonesha uwezo wao mfano magereza,JWTZ,wanyama pori na n.k.
Hapa kwa upande TRA tunaitaji na nyie muanzishe biashara au maduka yenu ili muwe mfano...
Kwaya ya Damu Takatifu ya Yesu, Parokia ya Yohana Mtume na Mwinjili, Tegeta Jimbo Katoliki Bagamoyo wamepata Ajali Mbaya katika Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida walipokuwa wakielekea Jimbo...
Mwezi wa 12 mwaka Jana 2025 Kwacha 1 ilikuwa TSH 105, Leo tarehe 02/07/2026 kwacha Moja ni TSH 144.
Hii inamaana gani?
Tunashuka? Au wao wanakuwa kwa kasi.
Nini kifanyike kulinda thamani ya...
Mtangazaji anaulizwa kuhusu kifungu cha sheria kinachompa mamlaka: "Tunataka watupe tu kifungu kimoja tu ambacho kimekupa mamlaka ya kutoa tamko ulolitoa ukiwa bungeni, kifungu tu yaani...
Mimi ni Mchaga kwa asili, japo nilizaliwa Same na kukulia kijiji cha Same. Nimekulia kwenye familia ya kawaida sana ya wakulima na wafugaji. Utoto wangu haukuwa wa anasa wala uhuru mkubwa kama...
Kuna watoto wa Watanzania hasa wenye kipato duni ambao walitakiwa kuanza masomo ya chuo kikuu mwakajana 2025, lakini kwa kukosa mikopo ya Elimu ya juu mpaka sasa wapo mitaani tu hawajui wafanye...
Katika vijiji vya Kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi takribani miaka 3 iliyopita, baadhi ya nyumba...
Madereva Bajaj wa GEITA wanaonewa sana, kuna watu wanawakamata-kamata sana wakishusha abiria na kupakia kwenye taa za JOSHONI Nyankumbuuu sokoni Wilaya ya Geita Mjini tunaomba msaidie watu...
Baada ya kupita zaidi ya miezi minne tangu shauri la msingi la kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kusimama kupisha usikilizaji wa rufaa ya Jamhuri inayopinga uamuzi wa...
Tangu zamani watu waliojenga nyumba kabla ya biashara wamekuwa wakiulizwa maswali ya kwa nini wasijenge biashara kubwa kwanza alafu ndio baadae wajenge nyumba, wanaouliza hayo maswali wanadai...
Nyamongo iko Tarime DC ni miongoni mwa maeneo ambayo Waziri Mkuu alitembelea lakini hatujaona mwenendo wa tatizo la maji maana wakija kusoma matumizi ya maji kwenye Mita wanaleta bili unawauliza...
Eneo la Salasala Kilimahewa Juu, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni tunafikisha kilio chetu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda mrefu.
Tatizo hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.