Eneo la Salasala Kilimahewa Juu, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni tunafikisha kilio chetu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda mrefu.
Tatizo hili...
Siku niliyoenda Afrika Kusini ndipo nilipoelewa kwa nini watu wengi kule wanaonekana wanene.
Nilipata nafasi ya kutembelea Pretoria. Kitu kilichonishangaza ni kwamba ilikuwa vigumu sana kupata...
Nina dukudhuku kuhusu Idara ya Uhamiaji Kurasini hapa Dar es Salaam, Mtu unaomba Passport kwa ajili ya matembezi mfano kwenda Kenya wao wanataka bank statement, unaleta bank statement wanataka...
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) una jukumu kubwa la kuhakikisha kuwa wastaafu na wanachama wake wanapata huduma bora na stahiki baada ya miaka mingi ya kulitumikia taifa...
Bado nina malalamiko dhidi ya Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya. Kutokana na ucheleweshaji wa utoaji wa pasipoti, hatimaye nimeshindwa kufanya safari yangu iliyokuwa imepangwa kwa mwaka huu wa 2026...
Wizara ya Fedha imewasilisha bajeti ya mwaka mpya ambayo imejumuisha ongezeko la kodi ya excise duty kwa magari, ambapo baadhi ya magari yameongezewa kwa asilimia 10 na mengine kwa asilimia 5...
Ama kwa hakika,
hujafa hujaumbika, leo kwangu kesho kwao.
Kumeibuka tabia mbaya isiyo ya kiutu wala kibinadamu, kwa baadhi ya viongozi na wafuasi wao miongoni mwa vyama vya siasa nchini...
Barabara ya kutoka Moshono Stand kuelekea Moshono Kati hadi Idara ya Maji, mkoani Arusha, imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu bila kupatiwa ufumbuzi.
Wananchi wanaotumia barabara hiyo kila...
Kuna wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wa mabasi yanayofanya safari kati ya Tabora na Mbeya. Inadaiwa kuwa baadhi ya mabasi yanayotumika katika njia hiyo yana hitilafu za kiufundi, huku yakisafiri...
Mkoa wa mbeya maeneo ya barabara za VETA na Isyesye taa za barabarani hazifanyi kazi kulinganisha na miaka ya nyuma ambako zilikuwa zikifanya kazi vizuri. Nime tuma za barabara ya ilomba kwenda...
Tunaomba mamlaka husika na JamiiForums kutusaidia kufuatilia suala hili. Kwa takribani miaka mitatu sasa, Mwenyekiti na Mtendaji wa Mwime, Manispaa ya Kahama, hawajawahi kuwasilisha taarifa za...
Vodacom Tanzania Plc, kampuni pekee ya mawasiliano iliyoorodheshwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), imetambuliwa kama mmoja wa walipa kodi wakubwa nchini.
Utambuzi huu unaonyesha...
Wakuu Niko serious naomba nielekezwe Kwa wale ambayo wamefanikiwa kutembea nchi mbalimbali, nilifanikiwa kufika Nairobi miaka Fulani nyuma, lakini lifestyle Yao sikuipenda ni nchi ambayo vurugu na...
Hivi unajua kuwa viwanda vyote vya Coca-Cola duniani (ikiwemo hapa kwetu Tanzania) havijui fomula halisi ya kinywaji hicho? Hapa ndipo akili kubwa inapopiga pesa duniani kote kupitia mbinu hizi...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatoa ushuhuda ambapo dada yake ameolewa na mkristu mlatoliki.
Huu ni ukweli wa kawaida wa maisha na status ya watanzania wengi.
Hii inamanisha...
Hatua ya mamlaka kufunga baadhi ya bar zilizokuwa zikisababisha kelele na usumbufu kwa wakazi imezua mjadala mkubwa.
Lengo halipaswi kuwa kupinga burudani, bali kutafuta namna bora ya kuifanya...
Leo tuvunje ile meza tunayokalia kujadili "Upendo wa Ndugu". Kuna ugonjwa mkubwa sana wa kiuchumi unaotafuna wasomi na wafanyakazi wengi, ugonjwa ambao tunaupa jina zuri la "Kusaidia Familia". Ila...
Hii ni hoja yangu tu si lazima kila mtu akubaliane nayo.naamini kuna dalili ambazo zinaweza kuonyesha moyo wa mtu unavutwa zaidi kumtafuta Mungu.
Ya kwanza ni pale unapokuwa peke yako hasa usiku...
Hamjambo!
Binti zetu wa Tibeli mwanamke mwenye mawazo ya kinyumbani nyumbani Anakosa video vya kuwa Mke.
Mke mwema haishii tuu kuwaza kufua Boxers, sijui kupika, na kuosha vyombo.
Mwanamke...
Mimi ni mtu flan ambae huwa na mawazo mengi sana na huwa nafikiri vitu kwa ukubwa sana tu the point na weza kumiss little details.. (over thinker mkubwa sana mimi)
So basically ni kaamua kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.