Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Vehicle officer Mwanza, ni usumbufu sana. Ofisi hii imekuwa ni kero kwa jiji la mwanza,watu wengi wanasubiri huduma lakini yeye hayupo... na Cha kushangaza ofisi yote,yupo mmoja tu mkoa mzima...
0 Reactions
0 Replies
85 Views
Tumekua tukisikia msemo unasema kufilisika huja na roho ya madeni. Tunaomba ushuhuda kwa wenye uzoefu kama umewahi kukopa au umewahi shuhudia mkopaji akifanikiwa baada ya kukopa.
4 Reactions
8 Replies
228 Views
"Wanalipwa fedha kwa kuwatumikisha Vijana wa Kitanzania, wao ndio wanatajirika, wanatajirikia damu za watoto wa Kitanzania. Imetokea ile mwaka jana wametawanywa kwenye baadhi ya Nchi, mtu mmoja...
2 Reactions
11 Replies
232 Views
Asubuhi ya Desemba 2022, Harold "Peanut" Allen, mwenye umri wa miaka 52 kutoka Freetown, Indiana, Marekani, alianza kuugua ghafla. Alikuwa akitapika, akilalamika maumivu makali ya tumbo na afya...
2 Reactions
3 Replies
185 Views
Kwanza kabisa nakubali kwamba nikweli mimi mwehu ndama ubongo wangu umecheza mahala fulani..Na nyuzi zangu nyingi humu jukwaani nikweli zinaashiria upungufu wangu wa akili sababu bado nakula...
0 Reactions
9 Replies
121 Views
Kiroho na kihesabu (Numerology), tarehe ya leo Juni 26, 2026 kubeba Nishati ya Namba 8, ambayo ni namba yenye nguvu kubwa ya mafanikio ya kifedha, mamlaka, na uwiano wa kimaisha (Karma). Hii ina...
13 Reactions
50 Replies
623 Views
ushuhuda Miaka ya 1960's ilitokea mkoa wa Mbeya eneo linaloitwa Mwakaleli Alipokuwa anaishi mwinjilist huyu mwanamume kijana wa miaka 22 akiwa pia ni muajiriwa wa serikali kama meneja wa shirika...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam. Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake katika sekta ya nishati baada ya kutunukiwa Tuzo ya Rais ya Mlipa Kodi Bora katika kipengele...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Bwana Yesu apewe sifa. Nalisihi Kanisa la Mungu lililopo Tanzania limkumbuke Mch. Mbarikiwa Mwakipesile. Ninaposema Kanisa la Mungu la Tanzania simaanishi dhehebu! namaanisha ni watanzania...
5 Reactions
15 Replies
324 Views
Nimecheka sana, baada ya kusikia sababu za polisi kubadilishiwa uniform toka zile za zamani. Kumbe sababu ilikuwa kuficha vitambi! Hizi za sasa mashati sio yale ya kuchomekea, na hivyo...
2 Reactions
7 Replies
177 Views
Sheria za dunia na dini zipo kwa maskini tu. Maskini unaweza kuwa na njaa ukaiba kuku hapo kuna mawili kuona 30 au kuona kifo. Ila tajiri anaweza kuiba bilioni 30 tukaambiwa tumzomee. Hivi...
0 Reactions
2 Replies
83 Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imebaini na kukamata makopo 122 ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vyenye kemikali ya THC, inayopatikana kwenye dawa za...
5 Reactions
24 Replies
507 Views
Sijajua kuna nini. Hii huduma imeanzishwa juzi tu badala ya kutumia namba ya simu sasa unaweza kutumia username. Kumbukeni India kuna wataalamu wengi swala la IT na scammer wengi wapo India. Au...
1 Reactions
0 Replies
90 Views
Wakuu habari ya leo...!? Naomba tushirikishane mada hii kidogo ili tupate uelewa wa pamoja na kuweza kusaidiana namna ya kwenda. Kulingana na uzoefu wangu katika kazi ya uuzaji wa viwanja vya...
0 Reactions
4 Replies
262 Views
Leo Quran inachukuliwa kuwa ni nakala moja tu inayosomwa na Waislamu duniani. Lakini kihistoria, hapo awali Qur’an zilikuwa na tofauti kubwa si tofauti kidogo tu ya alama za vokali, bali maneno...
22 Reactions
833 Replies
6K Views
Makamu Mwenyekitiwa CHADEMA upande wa Bara, Mheshimiwa John Heche, Naibu Katibu Mkuu Bara, Mheshimiwa Amani Golugwa na viongozi wengine wa chama wakiwasili mortuary ya hospitali ya mkoa wa Kigoma...
1 Reactions
2 Replies
155 Views
ZOEZI HILI LIMEFANYIKA Kwa wafia dini mnaweza kusema kwamba tunaroga _ Ila hizi ni mira ambazo hata kama utaona zinaujinga na upuzi ndani yake nataka kuwaambia ! Huyu mzee kumtoa Shinyanga...
5 Reactions
11 Replies
241 Views
Fikiria tu hii kashfa mpya wanakwapua shilingi 600 kwa kila lita ya mafuta. Piga hiyo mahesabu kila lita ya mafuta nchini sh 600 na haiendi hazina. Na hizo hela zinahifadhiwa kwenye account za...
1 Reactions
28 Replies
491 Views
Lowasaa alisema Elimu Elimu Elimu! Waziri mmoja amesema ana mamlaka kikatiba, akaulizwa tutajie kifungu , akakimbia kusema watakutana mahakamani. Ifahamike, Watu waliosoma Sheria kwa hapa...
2 Reactions
5 Replies
209 Views
Back
Top Bottom