Watu ambao Mungu amewachagua kwa kusudi maalumu njia zao sio nyepesi mpaka kufikia hatma yao ,
Kuna kipindi cha kusemwa vibaya , kuna kipindi utapuuzwa , kuna kipindi watu watakusahau
Lakini...
Mfumo dume ni mfumo wa Kihistoria unaoelezewa kwa upande mmoja (Mbaya) hivi leo, kwenye kizazi chenye kulea na kuendekeza huruma kimatukio, kuna upande wa Mfumo huu haukusimuliwa ndio maana leo...
Wwngi mmeaminishwa nyerere alikuwa mtakatifu ,mfano wa kuigwa. Ila niwaambie ukikaa na wazee waliopitia shuruba za nyerere ndio utajua alikuwa hafai.
Kwanza wakati wa vita ya kagera kuna tajiri...
Leo nimekumbuka hadithi ya Samson na Delila.
Sisi wanaume kwenye utafutaji kuna mda kinyume na sheria labda ushirikina, kuishi na misukule, wizi, madawa, utapeli, ufisadi na n.k
Ila wanaokuja...
Salaam.
Wakuu wafanya biashara wadogo wenzangu,hivi hali ikoje kwenye biashara mbona mambo yanazidi kua mabaya hivi wazee kwa zaidi ya mwezi sijawahi kukutana na hali mbaya ya biashara kama...
Inasikitisha kuona gereji za magari zikifunguliwa holela kwenye maeneo ya makazi.
Toka Dar, Arusha, Mwanza, hadi Mbeya. Zinavunja kuta za majirani, zinatupa mafuta na taka ovyo, zinaleta kelele...
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) akiwasilikiliza watumishi wa Mamlaka ya Rufani alipotembelea banda la PPAA kwenye kwenye Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es...
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro, amesema kuwa kwa mujibu wa uzoefu wa askari na wataalamu wa serikali, kifo cha dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche, kinaonekana kuwa cha...
Pole Afrika yangu,Yaani timu tisa zimeingia LAKINI zilizio fanya vizuri zile za waarabu tu
Kila kitu kwetu kibaya
1. Magonjwa ya kuambukiza HIV Aids Ebora
2. Vita na ufisadi DRC, sudan,Central...
ushauri wa kitaalamu kuhusu Mawazo Vamizi, Harm OCD/Intrusive Thoughts. Naomba miongozo ya madaktari na wale walio na uelewa.
Habari za majukumu wana-bodi.
Kabla sijaenda mbali, naomba niweke...
Tabia zako zinakufanya wewe, Ukweli usio na huruma 😔
"MAISHA YAKO LEO NI MATOKEO YA TABIA ZAKO ZILIZORUDIWA MARA NYINGI"
Kuna mtu aliamua kuweka akiba TSh 2000 ikajirudia mara 1000 mwisho akawa...
UTEKELEZAJI WA ADA YA UENDELEZAJI WA MIUNDOMBINU YA BANDARI
Jumatano, 01 Julai 2026
DAR ES SALAAM
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inapenda kuujulisha Umma kuwa mnamo tarehe 1...
Mwenyekiti wa Chama cha
Demokrasia na Mandeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameiomba Mahakama ya Rufani kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), akidai yamelenga...
Baada ya Waziri wa Fedha kuwasilisha Bajeti ya mwaka 2026/27, Serikali imeongeza kodi ya excise duty kwa magari kulingana na uchakavu wake, ambapo ongezeko ni kati ya asilimia 5 hadi 10 kulingana...
Vehicle officer Mwanza, ni usumbufu sana.
Ofisi hii imekuwa ni kero kwa jiji la mwanza,watu wengi wanasubiri huduma lakini yeye hayupo... na Cha kushangaza ofisi yote,yupo mmoja tu mkoa mzima...
Tumekua tukisikia msemo unasema kufilisika huja na roho ya madeni.
Tunaomba ushuhuda kwa wenye uzoefu kama umewahi kukopa au umewahi shuhudia mkopaji akifanikiwa baada ya kukopa.
"Wanalipwa fedha kwa kuwatumikisha Vijana wa Kitanzania, wao ndio wanatajirika, wanatajirikia damu za watoto wa Kitanzania. Imetokea ile mwaka jana wametawanywa kwenye baadhi ya Nchi, mtu mmoja...
Asubuhi ya Desemba 2022, Harold "Peanut" Allen, mwenye umri wa miaka 52 kutoka Freetown, Indiana, Marekani, alianza kuugua ghafla. Alikuwa akitapika, akilalamika maumivu makali ya tumbo na afya...
Kwanza kabisa nakubali kwamba nikweli mimi mwehu ndama ubongo wangu umecheza mahala fulani..Na nyuzi zangu nyingi humu jukwaani nikweli zinaashiria upungufu wangu wa akili sababu bado nakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.