Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dunia kuna mabadiliko sana. wana geopolitical watusaidie kuhusu tukio ili
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Sisi wanaume ndio washiriki wazuri wa kwenda chooni kukojoa. Ila wanawake unaweza kukaa naye zaidi la saa moja hata kwenda chooni uwezi kumuona. Mfano yale mavazi wanayo vaa mpaka unajiuliza...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Baada ya kukaa na mke wake muda mrefu na akamuamini na kumuonesha account yenye kibunda hatimae mke kachota mkwanja wote na kulala mbele. Tuweni makini wakuu.
20 Reactions
123 Replies
2K Views
Leo mjinga ndio anakuwa na cheo na kila kitu. Kwa nini dotto magari kafikia kuziaki wenye elimu wakati anachokitumia kimetengenezwa na wenye elimu. Tanzania kama mzazi kumbatia mawazo ya mtoto...
1 Reactions
3 Replies
98 Views
Kwanza sipo hapa kukubeza au kukutukana bali kukumbushana kama wanaume Tegemewa wa leo na kesho pia nataka kujua hasa uwezo wako wa akili upo kiasi gani kichwani mwako! Ni kweli una elimu Ni...
6 Reactions
78 Replies
2K Views
kuna nchi za ulaya ukisafiri kama haujafanya booking ya hotel na hauna kiwango cha pesa cha kutosha wana ku deport back . Hivi kuna nchi ya Afrika wapo strictly hivoo
2 Reactions
4 Replies
150 Views
Habari Nashauri baada ya uchaguzi inawezekana kabisa tukakaa pamoja wale walioshinda na vyama vyote vya upinzani tukaunda serikali na serikali ikawa na viongozi kutoka kwenye chama chochote ili...
0 Reactions
1 Replies
69 Views
Ni kauli ya mtu ambaye anakwenda kupoteza lengo ama target kiufupi ni kauli ya mtu anaekwenda kushindwa Unapotaka kuamua kufanya jambo lolote lile akikisha unafanya kweli Leo kuanzia mwanzo mpaka...
1 Reactions
3 Replies
128 Views
mwaka furani nilipata ajari mbaya kidogo iliyonisababishia majeraha kadhaa nikajiuguza nikawa fiti kabisa kisha nikahandika tarehe na mwezi wa tukio hili kwenye kitabu changu cha kumbukumbu maisha...
4 Reactions
4 Replies
149 Views
Kuna tabia imeenea siku hizi ya watu kujiona wanajua kila kitu. Ukweli ni kwamba hakuna anayejitosheleza kwa maarifa au ujuzi. Unaweza ukawa bingwa wa hesabu kiasi cha kutatua milinganyo migumu...
1 Reactions
0 Replies
99 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kifo kutokana na ajali ya moto iliyoteketeza maduka mtaa wa Lumumba uliopo katikati ya jiji hilo. Akizungumza na...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Ni hilo tu . Nimeilaani hii timu kwa vitendo walivyofanya babu zao kwa Waafrika.
2 Reactions
1 Replies
75 Views
Nawasalimu wote. Habari ya wakati huu?!. Moja kwa moja kwenye mada. Ujinga sio tusi, bali ni hali anayoweza kuwa nayo mtu yeyote, wakati wowote. Ukiambiwa wewe ni mjinga usilaumu kua umetukanwa...
3 Reactions
2 Replies
120 Views
Moto umezuka na kuendelea kuteketeza nyumba kadhaa katika Mtaa wa Lumumba, jijini Mwanza, na kusababisha taharuki miongoni mwa wakazi wa eneo hilo Tutakufahamisha zaidi kinachoendelea...
4 Reactions
10 Replies
357 Views
Kutoka kwenye Mkutano wa Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Julai 1, 2026 na wananchi wa Nyamongo Mkoani Mara. Moja ya mwananchi aliyejitambulisha kwa jina la Sibora Mwita Magige amemuomba...
6 Reactions
5 Replies
236 Views
Abdilah Musa alimaaruf kama Banjoo alitikisa Arusha kwa ubabe wake na ujuzi wa kuishika na kuitumia bereta kwa ufanisi wa hali ya juu sana. Alikuwa mwizi wa madini na magari na mbabe haswa. Soma...
33 Reactions
249 Replies
15K Views
JF acheni kubadilisha mada.Naleta ujumbe na sasa tulipo kwa nini haya
1 Reactions
0 Replies
65 Views
Kuna mambo mengine afrika kama kichekesho. Leo kuna sifa na vyeo wanapewa ila wakitingishwa wanaanza kutoa milio. Hivi mfano iran unaweza kufananisha nchi gani hapa afrika.
1 Reactions
1 Replies
67 Views
Anonymous
Wakazi wa NHC Shekilango, Ubungo, na maeneo mengine mengi tumekuwa tukikumbwa na tatizo kubwa la upatikanaji wa maji tangu mgao wa mwezi Desemba. Kinachoshangaza ni kwamba zamani eneo la NHC...
0 Reactions
1 Replies
84 Views
Salam. Wakuu nimejaribu tu kuwaza, ukifuatilia siasa za afrika, kuna wimbi kubwa la viongozi kubadili katiba na kujiongezea muda wa kukaa madarakani. Vipi kama huo upepo ukafika kwetu? Nini...
0 Reactions
11 Replies
103 Views
Back
Top Bottom