Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 460
- 1,190
Tabia zako zinakufanya wewe, Ukweli usio na huruma 😔
"MAISHA YAKO LEO NI MATOKEO YA TABIA ZAKO ZILIZORUDIWA MARA NYINGI"
Kuna mtu aliamua kuweka akiba TSh 2000 ikajirudia mara 1000 mwisho akawa na Milioni 2 😊
Mwingine akamua kuwekeza majungu kila siku ikajirudia mara 1000 sasa ni tajiri wa UMBEA 😔.
# Mwanasayansi Saul kalivubha.