Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna mambo mengine afrika kama kichekesho. Leo kuna sifa na vyeo wanapewa ila wakitingishwa wanaanza kutoa milio. Hivi mfano iran unaweza kufananisha nchi gani hapa afrika.
1 Reactions
1 Replies
67 Views
Anonymous
Wakazi wa NHC Shekilango, Ubungo, na maeneo mengine mengi tumekuwa tukikumbwa na tatizo kubwa la upatikanaji wa maji tangu mgao wa mwezi Desemba. Kinachoshangaza ni kwamba zamani eneo la NHC...
0 Reactions
1 Replies
84 Views
Salam. Wakuu nimejaribu tu kuwaza, ukifuatilia siasa za afrika, kuna wimbi kubwa la viongozi kubadili katiba na kujiongezea muda wa kukaa madarakani. Vipi kama huo upepo ukafika kwetu? Nini...
0 Reactions
11 Replies
103 Views
Shida kuelimisha mtu kama kobe kujiondoa kwenye gamba lake. Dini zetu zimetumia nguvu nyingi kumwaga damu zaidi ya history za vita ya dunia zote. Dini zimekuwa kujificha kwa watawala kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Magufuli kweli ni nyoko. Aliwaondoa kabisa kwenye ramani hawa jamaa. Jamaal na Dioniz Malinzi ambao ndio walikuwa wamiliki wa kampuni ya clearing and forward iitwayo Cargo star. Walitamba enzi...
0 Reactions
3 Replies
311 Views
Wakuu, Mwezi january ndo huo unapamba moto, baada ya mapambano makali ya mwaka jana na bata la desemba, sasa narudi ulimwengu wa vita ni vita Mura. Kifupi liwalo na liwe nikipata nipate, nikikosa...
60 Reactions
260 Replies
14K Views
Wakuu, habari. Mimi nimefuatilia kauli za huyu bwana kwenye majukwaa anayohutubia nimepata mashaka na afya yake ya akili. Maana anaropoka vitu asivyo na ushahidi navyo na ambavyo haviwezekaniki...
1 Reactions
10 Replies
184 Views
Kelele za Oktoba, 2025 zimerudi tena za kuhubiri amani amani! Acha inyeshe tena tuone panapovuja ======== Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kimewataka Watanzania kutoshiriki maandamano...
0 Reactions
3 Replies
142 Views
Kaa wewe umeshajipata katika sekta yako mfundishe mtoto wako apaye skillz za kufanya illusion na mazingaumbwe. Kisha anaanza kutembea shule baada ya shule baada ya shule. kiingilio 500, sekondari...
0 Reactions
2 Replies
86 Views
Anasa ni zimwi linalokunong'oneza kwa sauti ya upole kuwa "gusa tu kwa leo alafu basi" Masikini kumbe unaisha. Mishe ya kukupa mtonyo kumbe ni kama maua. Sio wanawake wenye MAKEBO makubwa, sio...
4 Reactions
8 Replies
174 Views
Kichwa kinajieleza kwa nini wanawake wengi wembamba wana viburi tofauti na vibonge Nasisitiza mada..........
1 Reactions
7 Replies
99 Views
Nimekutana na jamaa kafanikiwa kimaisha na kaelimu. Leo ndo nimeelewa watu.Mada ilikuwa hivi. Kanikuta naangalia graph za forex kati ya USD vs GOLD. Kaniuliza naona ushaanzaa utapeli. mi...
3 Reactions
5 Replies
100 Views
Mtaalamu maarufu wa mustakabali wa teknolojia, Ray Kurzweil, ametabiri kuwa kufikia mwaka 2030, binadamu wataweza kuunganisha akili zao moja kwa moja na akili bandia (AI) kwa kutumia nanoboti...
4 Reactions
12 Replies
694 Views
Neno democracy kwa afrika naomba liondolewe litafutwe jina lengine mfumo wa utawala wenye jina lake. Leo hii waziri Katambi na CCM wake hata katiba iliyopo ni shida kuitumia
0 Reactions
1 Replies
59 Views
Moja kwa moja. Kwa utafiti usio rasmi ; Wahuni akili mbovu wengi ni wavuta bange Watu wakitaka kufanya matukio ya kinyama wanavuta bange kwanza Watoto wanaanza kuvuta bange mapema asimia...
8 Reactions
91 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma lingependa kutoa taarifa ya mwendelezo wa uchunguzi wa kifo cha Suezi Dani Maradufu kilichotokea Julai 1, 2026 katika nyumba ya kulala wageni Ntahamba mkoani Kigoma...
0 Reactions
5 Replies
145 Views
Kituo cha afya cha Magoma wilayani Korogwe mazingira yake sio safi Wala salama kwa jamii inayohudumiwa kwenye kituo hichi. Wagonjwa wanalalamika hali chafu ya mazingira ya kituo, mda wa kazi...
2 Reactions
1 Replies
98 Views
ZINGATIA HAYA ALFAJIRI. KIJANA JINSI ZOTE. Nimeiita alfajiri tusiyojua kilichobebwa na mchana wake. Ndio ni alfajiri na mapema ya mahusiano unayoona pengine kuna umbali yataenda na hata...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Nasikiia watu wanatumia sana hii kitu. Je inafaida zozote kwa afya ya binadamu? Naomba ushauri wenu.
0 Reactions
0 Replies
79 Views
Back
Top Bottom