Askofu Mkuu wa Makanisa ya Bethel Calvary Church Dr. Willy Ackyoo kuelekea Maandamano yanayopangwa kutokea Siku ya Julai 7, 2026, amesema hakuna Serikali itakayoruhusu wananchi nchi nzima...
Kijana ukitaka kujiajili ingia kwenye kilimo cha bustani mazao kama nyanya,kabichi vitunguu nk. Hachana na kilimo cha mahindi ni umaskini mtupu lima mahindi ya chakula tu.
Nyanya inayopandwa...
Katika maisha binadamu unatakiwa kuwa mchache wa maneno yenye kueleweka,kuelimisha na yenye busara. Ambapo anayekusikiliza hachoki kukusikiliza na anakua tayari kuna kitu amepata katika maneno...
Wapo watakao kuja na vyeti vingi na ufaulu wa A+ na kusema wana sifa sahihi za kupata kazi, lakini ukiwapa kazi wafanye kwa vitendo wanashindwa na kupelekea kupata hasara au kushuka kwa...
Habari wanajf,
Nina imani kuwa kuna baadhi ya watu tulikua pamoja kufatilia simulizi alizokuwa akitoa Mr. mc_power, ila kwasasa ile burudani haipo na sijajua shida nini? Maana simulizi zake...
leo Marekani wametimiza miaka 250 ya uhuru na kuanzishwa kwa taifa hilo.
Ikumbukwe Taifa hilo limeundwa na majimbo (State)
Miaka 250 na hamna chokochoko za muungano!
Kwann Tanzania Miaka 60 tu...
Jibu ni ndiyo, hii inaanzia katika familia unaweza kuta familia moja ya watoto 8 wote wakawa vilaza, inaenda mtaa wote ni vilaza, unaenda wilaya wote ni vilaza, unaenda mkoa wote ni vilaza...
Post hii imebase kwenye science na sio kwa ajili ya kudhihaki kifo.. So naomba sana mzingatie hili.
As we all know everything is energy. That tukiivunja matter tu nakutana na simplest particles...
mungu ni mwema nilikuwa sina mchongo
Nimeanza juzi ila changamoto boss anamnunulia kilo mbili tu za nyama ya kiti moto jana nimemkaangia vizuri katika kumpelekea bandani
uvumilivu ukanishinda...
Kuna habari hapa ilitoka sijajua ni nani ila alitoa tahadhari kwa viongozi wa chadema na watu wenye mapenzi na nchi wawe makini wanaweza kuvamiwa na vikundi vyenye ofisi za polisi.
Ila ile mada...
Wakuu,
Swali lipo juu ya meza hilo hapo.
Wewe kama wewe hapo ni kitu gani kinachokusababisha unaiona simu inaita ila hautaki kuipokea?
Mfano labda upo kwenye gari unapigiwa simu haupokei na...
Mimi kama binadamu nna hisia na kila jambo likitokea linanigusa coz litatoke la kucheka ntacheka, huzunika nimo, furahisha lazma nisimame na mnyago wangu, la kukereka hutanikosa, kununa ndita kama...
Ufafanuzi juu ya suala la uagizaji wa mafuta nchini kipindi cha Aprili - Juni, 2026.
Tarehe 27 Juni 2026, kupitia akaunti ya Instagram ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, alichapisha...
Mwanamke Mmoja jijini Arusha amechora picha yenye jina la mtumishi wa Huduma ya Ngurumo ya Upako anayefahamika kwa jina la Nabii Mkuu Geor Davie.
Mwanamke huyo alipoulizwa kwa nini amechora tatoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.