Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

UKishafanikiwa utayaita afya ya akili. Utamwaisha mtoto wako milembe mapema mnooo Ukifika kule utagundua afya ya akili ya mwananadamu ni uwanda mpana sanaa wakati huku mtaani afya ya akili...
3 Reactions
5 Replies
132 Views
Salama wakuu Ukipita kwenye majiji makubwa hasa uchochoro unaweza Kishangaaa kukutana na vyumba vidogo sana zaidi ya 100 ambavyo vinatumika kufanya shughuli za ukahaba mfano katika jiji la dar es...
4 Reactions
26 Replies
561 Views
  • Redirect
Wakuu....! bila kupepesa macho,naziomba mamlaka kutoa onyo Kali sana wakati huu dhidi ya wafuasi na mashabiki wa Simba walipokuwa wanazomea na kutoa lugha isiyostahili dhidi ya raia namba Moja wa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Jeshi la Polisi Tanzania limefichua kuwepo kwa mipango ya siri ya vikundi vya watu wachache wanaotumia mitandao ya kijamii kuhamasisha vurugu, vifo kwa viongozi na wananchi, pamoja na mpango wa...
0 Reactions
4 Replies
136 Views
Niende kwenye Mada husika, baadhi ya Vijana wa Arusha wana aina fulani ya mwendo wanaigana hapo mbeleni inaweza kuwa ulemavu hawa Ndugu/Wadogo zetu wanasuka nywele kipindi cha nyuma ilikuwa...
7 Reactions
29 Replies
535 Views
Tuko mwaka 2026 jamani, lakini Kiwi shoe polish bado manatuuzia makopo yanayofunguliwa kama vile ni mtihani wa mwisho! 😂 Simu zimekuwa smart, magari yanajiendesha yenyewe, AI inafanya vitu vya...
15 Reactions
57 Replies
587 Views
Wakuu. Kulingana na Uislamu, yaani Quran na Hadithi-nchi/eneo la Waisraeli/Wayahudi ni ipi?
5 Reactions
23 Replies
415 Views
Zaidi ya wananchi 470 wamepatiwa Hatimiliki katika banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba)...
0 Reactions
0 Replies
100 Views
Kuna hii tendency umemtokea demu, au labda yeye ndo katokea kukupa sign kabisa... Labda uko zako restruant unapata zako msosi then anakuwa anakupa jicho flan hivi mischievous.. Then kama beberu...
13 Reactions
110 Replies
1K Views
Shalom Shalom wakuu...!! Katika kuperuzi kwangu mtandaoni nimekutana na taarifa kutoka kwa shirika la habari la kimataifa la Al Jazeera ikisema kuwa bei ya mafuta imeshuka sana katika viwango...
8 Reactions
44 Replies
867 Views
Kuna wale jamaa huwa wanapenda kutusema sana sisi wana wa kamtungilei, lakini maisha yao kila kukicha ya jana yanakuwa na afadhali kuliko ya leo....kuna jamaa yangu mwingine huwa anapenda kunisema...
8 Reactions
21 Replies
312 Views
.
15 Reactions
95 Replies
984 Views
Rais wetu mpendwa amepiga penyewe,pale pale,hongera kwa kabineti ya ushauri ya rais.
1 Reactions
4 Replies
79 Views
Sina haja ya kuiuliza AI nakuuliza wewe na wewe usiiulize AI. Nipe jibu lako wewe km wewe. Swali langu ni hili hapa, Kwanini kuna watu wanawahi kuzeeka na kwanini kuna watu wanachelewa kuzeeka...
7 Reactions
72 Replies
691 Views
msemo mdogo ila unamaana kubwa unapotafuta pesa.Kumbuka ulipotoka kumbuka watoto wako kumbuka ulioteseka nao wakakuvumilia
5 Reactions
8 Replies
466 Views
Huu ni mtego wa "Lifestyle Inflation" (Mfumuko wa Gharama za Maisha Binafsi)—ule ugonjwa unaotafuna vijana wengi wa Kitanzania kati ya miaka 24 na 35 pale wanapoanza kushika "pesa kidogo" ya...
16 Reactions
32 Replies
755 Views
Baada ya watu kuanza kuuliza kwa nini jeshi linachukua neno kauli mbiu ya CCM lile neno. Kesho mtarajie wakaitisha vyombo vya habari kama kawaida yao.
3 Reactions
7 Replies
227 Views
Unajua leo nilikuwa na cheki ile performance ya Justin Bieber ya coachella... Na as a fan, nimejikuta najifunza kitu muhimu katika maisha.. Ya kuwa inabidi mtu a jifunze namna ya ku adapt...
16 Reactions
88 Replies
1K Views
Unajua Mimi pia napenda ccm ing'oke ( ila siungi mkono maandamano ya amani) Wenzenu CCM wana majeshi yote, jwtz imeshajiweka wazi ipo kwa ajili ya kulinda mipaka ya ccm isiingiliwe, jeshi la...
1 Reactions
4 Replies
118 Views
Habari Naomba kuuliza kwa yeyote mwenye kujua, Ajira za jeshi, polisi na magereza hutolewa tofauti tofauti ? Au zinatangazwa Ajira za polisi then baada ya mafunzo mnagawanyishwa ? Na je huwa...
0 Reactions
1 Replies
172 Views
Back
Top Bottom