Ni mikoa ambayo ya kanda ya ziwa birth rate ni kubwa sana, kuna uwezekano ni robo au 1/3 ya population ya Tanzania ?
Kagera,
Geita
Mwanza,
Shinyanga,
Simiyu
Mara
Habarini wana wa JF,
Natumaini mko salama na afya njema. Kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine hawako katika hali nzuri kiafya, nawaombea pumziko na nafuu katika miili yenu.
Ningependa uzi...
Kwanini sisi lakini ah kwanini africa iko nyuma ama tupo nyuma kwenye maendeleo?
Africa iko nyuma kwa teknolojia africa iko nyuma kiuchumi africa iko nyuma hata football N.K tuko nyuma hasa...
Ciao..!
waswahili wanakwambia maisha hayako na hayatokaa yawe fair.
kuna vitu sisi kama binadamu tunakua na matamanio navyo lakini no matter how hard you try unabakia tu kusema one day yes au...
Moja kwa moja kwenye kero yangu:
Nimeona tangazo la EWURA kutangaza kuwa bei ya mafuta ya petroli na dizeli imeshuka kwa sh 96 and 151 kwa mafuta yanayoshushiwa katika bandari ya Dar-es-salaam ...
Kuna siku nilikaa na bibi yangu tukizungumza kuhusu maisha yake ya zamani.
Nilimuuliza swali ambalo lilinifanya nisikie simulizi ambayo hata baadhi ya wajukuu zake hawakuwa wamewahi kuisikia...
Bilionea nchini mwenye manjonjo mengi anayejihusisha na online marketing Dr Ibrahim Chenza PhD King of Oviedo alipania kuishi maisha ya ndoto zake na kweli kafanikiwa.
Ana msemo wake kila kitu...
Kuna tabia ambayo imekuwepo kwa muda, awali ilianza kama kitu kidogo kwa kufanywa na watu wachache lakini sasa hivi inazidi kuwa kama ndivyo uhalisia.
Daladala za kutoka Kawe kwenda Buza (Dar es...
Mwandishi wa Injili yenye utafiti wa kitaalamu kuhusu maisha ya Yesu Kristo
Luka, mmoja wa waandishi wa Injili nne katika Agano Jipya, ni mtu wa pekee. Tofauti na Mathayo, Marko, au Yohana – Luka...
Ifikie hatua tuheshimu serikali kwa nn inapotokea maadhimisho ya kitaifa uvurugaji hutokea kwa kuanzisha vuguvugu la Maandamano? Je ni mpango wa kuvuruga na kuua siku maalum za maadhimisho ya nchi...
Wakuu, inakuwaje?
Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa...
Wote wanaotekwa wakaachiawa wanapewa code fulani fulani kwamba keep this and this
Ndio maana huwezi ona
Mohammed Dewji akiumia juua ya wengine wanaotekwa , awezi andika FREESOMEBODY
mashart ni...
Hivi kwanini daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote? Yanatakiwa kuishia Buza lakini hayafiki yanaishia Tandika.
Hali hii imekuwepo kwa muda wa miaka...
My dear friend asikudanganye maisha ya Arusha ni kama yanakaribiana na dar sema tu tena Arusha ni cheap zaidi
Dar ni pagumu kuliko arusha kimaisha
Ukiangalia nyumba za kupanga city centre ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.