Ni sababu gani inayokufanya usipokee simu?

Ni sababu gani inayokufanya usipokee simu?

AXIOM APEX VERBOSE

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
12,270
Reaction score
20,644
Wakuu,

Swali lipo juu ya meza hilo hapo.

Wewe kama wewe hapo ni kitu gani kinachokusababisha unaiona simu inaita ila hautaki kuipokea?

Mfano labda upo kwenye gari unapigiwa simu haupokei na hauikati wala nini.

Upo nyumbani leo Jumapili simu ipo kwenye chaji labda inaita muda mwingi ila wala hujisumbui kwenda kuipokea.

Hivi nini kinakusababisha usipokee simu? Madeni?
 
Sipendi tu kuongea na simu ila nikiwa na energy ya kuzungumza na wewe na wewe ukakausha nakupunguza mazima
 
Back
Top Bottom