Uchache wa maneno huongeza uwezo wa kufikiri

Uchache wa maneno huongeza uwezo wa kufikiri

Shamuse_bey

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2026
Posts
467
Reaction score
601
Katika maisha binadamu unatakiwa kuwa mchache wa maneno yenye kueleweka,kuelimisha na yenye busara. Ambapo anayekusikiliza hachoki kukusikiliza na anakua tayari kuna kitu amepata katika maneno yako.

Na mtu ambaye anaongea kwa uchache ni mtu ambaye alitafakari kwanza kisha akazungumza na wala hakukurupuka na ndio mana maneno yao huibua mawazo mazuri katika jamii na hata kutoa mafunzo, na baadhi yao huwa washauri wazuri kati mambo mbalimbali.

Ila ukiwa mwingi wa maneno unakosa nafasi ya kufikiri na jinsi ya kuyapanga maneno yako kutoa au kufikisha ulicho kifikiria na kujikuta umeongea kitu kisicho na maana kwa jamii na watu wanao kusikiliza.
 
Mfano mwalimu....kuna hotuba yake moja niliisikilizaga nikasema huyu mzee ujanja ujanja ulimbeba.

Au ccmn maneno mengi vitendo zero
 
Mfano mwalimu....kuna hotuba yake moja niliisikilizaga nikasema huyu mzee ujanja ujanja ulimbeba.

Au ccmn maneno mengi vitendo zero
hata hivyo siasa maneno mengi ila utendaji katika ahadi ni zero kama usemavyo.
 
Back
Top Bottom