Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika vitu ambavyo huwa sijawahi kuvielewa ni mtu wa kawaida tena mvuja jasho tu kufunga safari kwenda kwenye maandamano ya timu ya mpira au paredi akitumia muda wake na gharama zake mwenyewe...
3 Reactions
4 Replies
118 Views
Kupanda miti ni muhimu sana kwaajili ya vizazi vijavyo.. tukiharibu nature outcome yake ni mbaya sana
2 Reactions
5 Replies
97 Views
https://www.youtube.com/watch?v=2tqW6a5tWoc
1 Reactions
1 Replies
108 Views
Katika siku za hivi karibuni, nimeona kipande cha video cha Mheshimiwa Zungu akizungumzia uhusiano wa watu wa dini mbalimbali nchini Tanzania. Alieleza kuwa amesoma katika shule ya Kikatoliki...
8 Reactions
51 Replies
850 Views
Raia wawili wa Tanzania, Paschal Nyanda (28) na Sanda Donald (24), wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Malawi baada ya kukutwa wakimiliki US$1,141,215 (zaidi ya Shilingi bilioni 3 za Kitanzania)...
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Vyombo vya ulinzi na usalama vikiendelea na doria kuhakikisha usalama Sikukuu ya Sabasaba Julai 7, 2026 mkoani Dar es Salaam kufuatia Maandamano yaliyopangwa kufanyika leo
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Habari wakuu. Hili jambo la kununua umeme halafu wanakata pesa bila kukwambia ni deni gani na ni kiasi gani, kwenu limekaaje? Nimenunua umeme wa shilingi 2,000, lakini nimepewa umeme wa shilingi...
0 Reactions
5 Replies
452 Views
Kwa wale watu wa kusafiri safiri sana, Kati ya mlima Sekenge uliopo Singida, mlima ulioua abiria kibao kwa ajali zake, yaani mkifika na basi mnasali kwanza. Enzi zile mkifika na basi abiria...
4 Reactions
255 Replies
83K Views
Wana JF tuweke utani pembeni kidogo. Hapa kuna watu wanaendesha miradi mikubwa, wafanyabiashara, wakandarasi, wafugaji, investors na wengine wenye connection za hatari. Mara ya kwanza unashika...
15 Reactions
138 Replies
2K Views
Katika maisha na pilikapilika za hapa na pale unaweza kufanya jambo flani la kushangaza baya au zuri watu wakawa wanakuteta je wewe ni uliwahi kukuta watu wanaokuzungumzia yani kukuteta...
1 Reactions
14 Replies
217 Views
Anonymous
Mimi ni Mwananchi kutoka Wilaya ya Kibaha Vijijini – Mlandizi, nina hoja moja kwa Wizara ya Afya kuhusu utaratibu wa kuandaa mwili wa marehemu ukiwa umeenda kuchukuliwa mortuary ili ukazikwe...
0 Reactions
22 Replies
446 Views
Leo hapa Nairobi nako maduka yamefungwa na polisi wametanda. Ina maana lugha moja inaanza kutawala kwa wananchi.
1 Reactions
13 Replies
258 Views
Nikiwa kama mwananchi wa kawaida ninaetamani kuona nchi yangu inakua na uongozi bora unaoweka mbele maslai ya wananchi, nimeshindwa kuelewa hiki kinachopangwa kwenda kutokea siku ya 7/7. Natamani...
12 Reactions
102 Replies
2K Views
Kichwa kinajieleza hapo Katika maisha Unaweza kuishi na watu Tofauti ila Miongoni mwa hao watu Kuna watu Ambao ni marafiki zako Wengine Wakawa adui ndugu n.k 1 SWALI:uliwahi kuchukiwa na mtu...
4 Reactions
29 Replies
414 Views
Mimi ni boss wa Jf kazi yangu ni kutoa assignment and get things done. 1.Nitapost kitu nisubirie responses kwa watu(Business plan in action) 2.Maudhui yangu ndiyo yataamua wachangiaji(Business...
2 Reactions
13 Replies
186 Views
https://www.facebook.com/share/r/1E9T6XaBv3/
2 Reactions
0 Replies
61 Views
Mtu wa Sura Mbili ni nani? Ni mtu mwenye maisha ya aina mbili. Uso mmoja wa kuonyesha watu, na uso mwingine wa kweli anaouficha. Mbele ya watu ni malaika. Maneno yake ni kama asali. Anaweza...
15 Reactions
134 Replies
1K Views
Habari ya uzima, ni mimi mwananchi kutoka Kibaha Maili Moja, Mtaa wa Muheza, mtaa wetu wa kwa Mbonde Msikitini hatupati maji kwa wiki mbili sasa na tukiwapiga DAWASA Kibaha wanadai presha ya maji...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Mimi ni Mwanakijiji cha Usagara A, Kata ya Usagara, Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza, katika kitongoji changu tumewekewa dampo kwenye makazi ya watu, pia wanachoma taka na kuleta moshi...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…