TTCL ni moja ya taasisi muhimu sana katika historia ya mawasiliano Tanzania. Ilikuwa uti wa mgongo wa mawasiliano ya taifa kwa miaka mingi. Hata hivyo, leo hii TTCL inaonekana kufeli au kuendelea...
Niliwahi kufanya kazi kwenye taasisi moja ya Wahindi inaitwa Aga Khan. Aisee, kwa suruba nilizozipata kwenye taasisi ile, sitamani tena kufanya kazi kwa Wahindi. Kwanza kabisa, ili Mhindi...
Shalom wapendwa,
Wengi wasiolewa wanasikitika kwa kinachoendelea South Africa.
Mimi ni mmoja wa wanaofuatilia zile video zao. Kwa kweli inasikitisha na ni aibu.
South Africa ilikuwa shamba la...
1. Kwanini msibani wanaume hawalii ni wakamili sana au kujikaza tu ?
2. Kwanini wanawake ndo huwa wanalia msibani ni udhaifu au ni mazoea?
3. Ni mara chache sana kukuta mwanaume msibani analia...
Dalali hana tofauti na askari polisi wote ni matapeli na hata ukiwa karibu nae au ni ndugu yako kuwa makini kukugeuka ni dk 1
Dalali unamuita kuangalia nyumba anakuuliza kodi sh ngapi nikuletee...
Mmekua na tabia ya kuchukua video/picha za waalikwa bila idhini yao na kuzipost kwenye kurasa zenu za mitandao ya kijamii,kwani nyie wenzetu mnaona ni Sawa?
Mimi nimekuja zangu kwenye sherehe...
Brac Tanzania
Ni mateso kwa mafisa mikopo maana wanalizimishwa kulipia wateja wao marejesho ambao hakuleta rejesho, ukishindwa kufanya hivyo unafukuzwa kazi.
Bado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk.
Sina mtoto wala...
Kampuni ya kutoa mikopo ya BRAC kwa wajasilimali wadogo hapa Tz
Hii kampuni imekuwa ikitanabsisha kutoa ajira kwa vijana wetu wa kitanzania amabo kazi zao ni kusaidia kupata wateja wa kuwapa...
Nimeangalia video nyingi za Dodoma sijawahi kuona mazingira ya uswazi
Ukizingatia jiji la Dodoma lina population sawa na jiji la Mbeya lakini Mbeya uswazi upo wa kutosha ukiangalia aerial view...
Waliokufa wengi wanatamani hata wapate dakika chache warudi kurekebisha makosa yao.
Na mwandikia hapa ni marehemu job ndungai kama nahisi anatamani hata hawa waliopo na kiburi wajiulize baada ya...
Bullying ni yale maisha ambayo leo ukienda hospital utapata aina nyingi ya wanadamu wameweza kukumbana kwa kila aina kulingana na sehemu wamekutana na mifumo, mazingira,afya,jamii na kila aina...
Kisha, Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Haiwezekani kabisa kusitokee vikwazo vinavyosababisha dhambi; lakini ole wake mtu yule atakayevisababisha.
Luka 17:1 BHN
Tunaweza kumlaumu aliyefanya...
Wengine huwaita manabii wa uongo, mimi siko huko, mimi nawaita manabii wa kizazi kipya (si mabii wa Kibiblia).
Kuna "nabii" mmoja alitoa unabii hadharani kuwa SIMBA NI BINGWA 2026 hata kama Yanga...
Ni aibu sana sana kusema nchi ina haki na domo crazy maana sio democracy mnayo sema ina tawala kwa haki.
Leo tarehe 7/7 mnaweza kusema mumeweka amani hapa mfano kariakoo kuwa watu waendelee na...
Nguvu ya Siri: Kwa Nini Ukimya Ndio Silaha Kubwa Zaidi Kwenye Mifarakano?
Fumba macho sekunde moja. Fikiria uko katikati ya mabishano makali. Joto limepanda, nyuso zimebadilika rangi, na maneno...
Salam.
Je, ninani mshindi kwenye hili?! Ni yule alieitisha maandamano na (hayakutokea), au serekali iliyo apa kuzuia maandamano na (hayakutokea).?
KUMBUKA: serekali imetumia gharama kuzuia...
Ni jinsi gani Africa imekuwa sehemu ya majaribio ya kila aina bila wao kujifahamu.
Mzungu anaweza kukosea ila anaweza kukuacha na kujifunza alichokosea.
USA kutimiza miaka 250 mpaka taifa kufika...
Tokea mda mrefu kulikuwa hakuna dalili ya watu kuandamana mlitakiwa mtake easy na muache kutisha watu na marisasi na kuwajaza wanajeshi barabarani nyie ndio mnaoharibu amani ya nchi na kututia...