Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Nina jirani yangu(nimepanga) naye ana nyumba yake jirani na nyumba niliyopanga. Ananifungulia muziki kama vile yale magari yanyopita barabarani kufanya promotions au adverts. Kwa kweli ananitesa...
5 Reactions
182 Replies
16K Views
Hivi hawa jamaa hawana kilinge? BABU.MIAMBI.Mganga wa tiba asili. Nyota, kumvuta mme/mke, nguvu za kiume, pete, biashara, jini mali, mali iliyopotea.0684099728/ 0744768265. ITAFIKA POPOTE.
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Basi mali ya Kampuni ya Complex Safari ambalo linafanya safari zake Dar es salaam kwenda Mwanza, limepata ajali ya kugongana uso kwa uso na Lori aina ya Fuso. Ajali hiyo imetokea maeneo ya...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
TRAFFIKI TAZARA WANAVYOUJUMU MAPATO YA RELI YA TAZARA ( PUGU-TAZARA) MKAKATI WA KUSABABISHA VIFO VYA WATANZANIA Serikali imeanzisha usafiri wa treni ili kusaidia Kupunguza foleni Jijini; Na ili...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
JF ni sehemu ya kuongea kwa uwazi, ewe ndugu RSM mpya wa tigo musoma mjini, punguza ama acha kuonea vijana kuanzia hawa vijana wanaopita kutusajilia line, vijana wanaowasimamia wanaosajili line...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana bodi, Siku moja nikiwa naendelea na mishe zangu, nilipigiwa simu na watoa huduma ya mula *150*78# kuwa naweza nujua bundle la king'amuzi kupitia kwao kwa njia rahisi zaidi. Niliwajibu poa...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Jionee Mwenyewe
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari, Naomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi gani ya kupata bima ya afya anielekeze inapatika vipi na wapi maana nataka kumkatia bima mama yangu. Natanguliza shukrani
1 Reactions
18 Replies
9K Views
Wakuu.katika maisha yangu yoote tangu nmeanza kujielewa,uwekezaj woote naofanya,.mbilinge mbilinge zoote nazofanya nchi hii,..nmekua nikipata msada kutoka kwa hawa jamaa yaan kuanzia 1.lesen za...
1 Reactions
8 Replies
877 Views
Nilikuwa nimeka nacheza nae mara ghafla nika mwambia kuanzia kesho nakufungia bandani na kukufunga kamba juu hutatoka nje tena wala ndani huta ingia. ALIKUWA HIVI Mara akabadilika sura na...
3 Reactions
118 Replies
15K Views
Wahudumu wa airtel mbeya branch na mlimani city(kaunta namba 4)(yule dada mnene anaevaa kama Malaya na kukaa mapaja yote yako nje kama barmed wa kangaroo ) Wanaangalia salio za wateja kisha...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Mheshimiwa Rc Makondo tunakuomba uingilie kati kuhusu kelele zinazosababishwa na mziki unaopigwa kwenye baa iliyopo stop over kwa mzee Temba. Sio siri hii baa imekuwa kero kiasi ya kwamba hata...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani mwenye soft copy za riwaya za huyu nguli naomba anitumie au anielekeze pa kuzipata
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwandishi wa habari wa kujitegemea jijini Arusha, Lucas Muyovera amenusurika kuuawa kwa kipigo baada ya kutekwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Jumatatu Mei 14,2018. Mwanahabari huyo...
10 Reactions
124 Replies
22K Views
Nimetamani sana neno hili kutokana na uzito wake linapotumika kwani mara nyingi waandishi was habari wakilitumia moyo wangu hufurahia na kuikoga nafsi yangu. Hata hivyo pamoja na weledi wangu...
1 Reactions
3 Replies
993 Views
  • Redirect
1 Reactions
Replies
Views
Ndugu zangu wanajf Mtu yyte mwenye taarifa ya mwezi hapa Tanzania eneo analokaa au popote duniani aweke humu ili waislamu tupate taarifa na tufunge ramadhn. Ahsanteni ===== UPDATE; Mufti Mkuu...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Sababu iliyotajwa ni kuwa hawatambuliwi na BOT . " BOT hawataki kutupokea , wametufukuza kama mbwa " Taarifa zaidi zinadokeza kwamba jumla ya waliorejeshwa na mahakama walikuwa 31 , lakini 11...
6 Reactions
87 Replies
10K Views
Kama video imevyojieleza! Wewe jikoholeshe uende chuo cha mafunzo. Ramadhani Kareem!
0 Reactions
3 Replies
815 Views
Back
Top Bottom