RC Makonda, Baa zinasumbua wakazi usiku Kimara Stop over

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,002
2,536
Mheshimiwa Rc Makondo tunakuomba uingilie kati kuhusu kelele zinazosababishwa na mziki unaopigwa kwenye baa iliyopo stop over kwa mzee Temba.

Sio siri hii baa imekuwa kero kiasi ya kwamba hata watoto wadogo hawapati usingizi kutokana na kelele za mziki.
 
Vipi hii baa iliyopo korogwe upande wa kushoto ukitokea kimara mwisho? nayo ni kero owa kelele
 
Si ana leseni au?
Mkuu hii nchi kuendelea itakuwa ngumu sana... noise pollution ingetakiwa ifanyiwe assessment na waliotoa leseni..

Mkuu wa mkoa ye ndo ana amri zote sio?
 
Mheshimiwa Rc Makondo tunakuomba uingilie kati kuhusu kelele zinazosababishwa na mziki unaopigwa kwenye baa iliyopo stop over kwa mzee Temba.Sio siri hii baa imekuwa kero kiasi ya kwamba hata watoto wadogo hawapati usingizi kutokana na kelele za mziki.
We Makupa yule wa CCM? Kama ndiye acha umbeya wa kike kama mlivyo wanaume wengi msiokunywa pombe!!

Cc: chris 14
 
Mnavyo tunyanyasa wanywa bia wakati sisi ndio chanzo kikuu cha mapato ya nchi yenu ipo siku tutaweka mgomo tuone hizo fly-over,madawa na barabara mtavipataje.
Suzy lete nyingine ya baridi sana zikalipuke nikiwa nimelala.
 
Back
Top Bottom