Msaada: Jinsi ya kupata bima ya afya

Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
10,708
12,789
Wakuu habari,

Naomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi gani ya kupata bima ya afya anielekeze inapatika vipi na wapi maana nataka kumkatia bima mama yangu.

Natanguliza shukrani
 
wakuu habari, naomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi gani ya kupata bima ya afya anielekeze inapatika vipi na wapi maana nataka kumkatia bima mama yangu.
Natanguliza shukrani

Unaweza kwenda kwenye ofisi za bima ya afya (NHIF) watakupa maelekezo ya kutosha. Nadhani kujiunga ni Tshs 1500,000 kwa mwaka kwa mtu mmoja.

Ila kwa kukuibia tu ni kuwa endapo mmejiunga kwenye kikundi mkakisajili wilayani, ninamaanisha vikundi kama vya ujasiriamali, mnaweza kupata bima hiyohiyo ya afya kwa shs 78,600 (elfu sabini na nane na mia sita) kwa kila mwanachama ila lazima maombi yenu yawe kuanzia watu kumi.

Kama hujaelewa bado, nitakufafanulia hapahapa
 
1.5 mil ni watu 6(family) sasa hiv kikund cha ujasiriamali ama kikoba huanzia watu 5
 
Unaweza kwenda kwenye ofisi za bima ya afya (NHIF) watakupa maelekezo ya kutosha. Nadhani kujiunga ni Tshs 1500,000 kwa mwaka kwa mtu mmoja.

Ila kwa kukuibia tu ni kuwa endapo mmejiunga kwenye kikundi mkakisajili wilayani, ninamaanisha vikundi kama vya ujasiriamali, mnaweza kupata bima hiyohiyo ya afya kwa shs 78,600 (elfu sabini na nane na mia sita) kwa kila mwanachama ila lazima maombi yenu yawe kuanzia watu kumi.

Kama hujaelewa bado, nitakufafanulia hapahapa
nashukuru mkuu, hapo kwenye kiasi ni 1,500,000 au 150,000?
 
Tembelea ofisi ya NHIF iliyo karibu nawe kwa msaada zaidi. Wana ofisi karibia kila mkoa.

Kama uko wilayani nenda kwenye ofisi za halmashauri/ manispaa/ mji au jiji- idara ya AFYA wana wawakilishi ambao watakupa maelezo ya kina na contacts za wahusika wa mkoa huo.
 
Unaweza kwenda kwenye ofisi za bima ya afya (NHIF) watakupa maelekezo ya kutosha. Nadhani kujiunga ni Tshs 1500,000 kwa mwaka kwa mtu mmoja.

Ila kwa kukuibia tu ni kuwa endapo mmejiunga kwenye kikundi mkakisajili wilayani, ninamaanisha vikundi kama vya ujasiriamali, mnaweza kupata bima hiyohiyo ya afya kwa shs 78,600 (elfu sabini na nane na mia sita) kwa kila mwanachama ila lazima maombi yenu yawe kuanzia watu kumi.

Kama hujaelewa bado, nitakufafanulia hapahapa

1.5M package ya watu sita
 
Sema uwe mwanachama wa kujitegrmea wa NSSF,na uwe unachangia 20,000/= kwa kila mwezi kwa ajili ya matibabu pekee!
Kwakuongezea tuu hyo 20 haikatwi, ni saving yko ambapo ukiamua kujitoa unapewa, so wanakupa huduma ya matibabu kama offer.
 
Weka nyama kidogo..... Inavutia story yako
ishu ni kwamba nssf kwa sasa wameanzisha fao kwa watu ambao hawapo katika sekta rasmi,ambao ni wafanya biashara na hta wasio wafanya biashara.kwa mchango wa shilingi elfu 20 na kuendelea,kwa mwezi.ukiweza kutoa hyo elfi 20 kwa kila mwezi basi utapatiwa bima ya afya bure kabisa na pia kama ni mama endapo utajifungua basi utapata fao la uzazi na mafao mengine kama wanachama wengine wa nssf ambao wapo makazini
 
Asante sana bro
 
Wakuu habari,

Naomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi gani ya kupata bima ya afya anielekeze inapatika vipi na wapi maana nataka kumkatia bima mama yangu.

Natanguliza shukrani
1. Kama ni mtumishi wa serikali au taasisi au asasi na uko kwenye ajira rasmi, nenda ofisi za bima kila mkoa una ofisi hizo. Utapewa fomu, utajaza na utaipata bima yako.

2. Kama unataka kuwa nayo na ni private sponsored, bima watataka 1,501,000/- kwa mwaka ili upate bima yako na wategemezi wako watano.

3. Kama uko kwenye kikundi cha ujasiria mali kilichosajiliwa kwa ujasiria mali, na mpo kuanzia 10, mwaweza omba wanakikundi chenu wapewe bima, ambapo kila mtu atatoa karibu 77,000/-, halafu ukisha ipata hiyo, unaruhusiwa kila mtegemezi wako kumlipia 77,000/- kupata bima yake kwa mwaka mzima.

Kila la heri
 
Back
Top Bottom