BOT yawafukuza waliorejeshwa na mahakama

BOT yawafukuza waliorejeshwa na mahakama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,978
Reaction score
285,475
Sababu iliyotajwa ni kuwa hawatambuliwi na BOT .

" BOT hawataki kutupokea , wametufukuza kama mbwa "

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba jumla ya waliorejeshwa na mahakama walikuwa 31 , lakini 11 kati yao walishafariki dunia kutokana matatizo ya msongo wa mawazo uliosababishwa na kufukuzwa kazi .

Chanzo - MwanaHalisi.

Mungu wabariki wahanga hawa .
 
Duu! ni hatari, Kwa nini wasitafutiwe kazi nyingine? kumbukeni hao ni watanzania wenzetu Jamani...!

JPM awatafutie kazi popote wapachikwe ili kumaliza hili swala,
 
Duu! ni hatari, Kwa nini wasitafutiwe kazi nyingine? kumbukeni hao ni watanzania wenzetu Jamani...!

JPM awatafutie kazi popote wapachikwe ili kumaliza hili swala,
hawa jamaa uzuri wanatembea na amri ya mahakama,lazima watarudi mbio.kwa jaji mkuu ili moto uwake.....mahakama vs serikali uso.kwa uso,mbuzi.wa kafara gavana
 
Tatizo suala hili linawekewa siasa sana. Kimsingi, baada ya ile hukumu wale wafanyakazi hawakupaswa kurejea kazini kama walivyofanya. Walipaswa kuomba mahakamani utekelezwaji wa hukumu yao iliyotolewa. Kama wangeomba kuitekeleza kwa njia ya kurejea kazini na BOT kugoma, sheria ingechukua mkondo wake. Walikosea kisheria na kihalisia kwenda kuripoti kazini bila ya kuomba utekelezaji wa hukumu yao kimahakama.
 
Taratibu za ukishinda kesi, si kuamua kurejea siku inayofuata.
Mwanasheria wao alipaswa kuwaandikia BOT kuwaeleza juu ya hukumu hiyo, kusudio la wao kurejea siku fulani na madai mbali mbali.
Pia Sheria inaruhusu kama mwajiri hawahitaji awalipe mafao yao yote kwa miaka hiyo waliyokuwa nje ya kazi plus mishahara ya miezi 12 (mwaka mmoja). Hivyo mwajiri anazo option mbili aidha kuwapokea au kulipa malpo hayo.
 
Tatizo suala hili linawekewa siasa sana. Kimsingi, baada ya ile hukumu wale wafanyakzi hawakupaswa kurejea kazini kama walivyofanya. Walipaswa kuomba mahakamani utekelezwaji wa hukumu yao iliyotolewa. Kama wangeomba kuitekeleza kwa njia ya kurejea kazini na BOT kugoma, sheria ingechukua mkondo wake. Walikosea kisheria na kihalisia kwenda kuripoti kazini bila ya kuomba utekelezaji wa hukumu yao kimahakama.
siasa muhimu,wakati wanafukuzwa walipigiwa kila aina ya siasa......sasa adui yao ameshaangamia mahakamani,hana ujanja,ngoja wamshughulikie
 
Pia Sheria inaruhusu kama mwajiri hawahitaji awalipe mafao yao yote kwa miaka hiyo waliyokuwa nje ya kazi plus mishahara ya miezi 12 (mwaka mmoja). Hivyo mwajiri anazo option mbili aidha kuwapokea au kulipa malpo hayo.
Lakini nadhani kulikuwa na haja ya mwanasheria wao kuipa taarifa BOT kuhusu ugeni huo .
 
Sababu iliyotajwa ni kuwa hawatambuliwi na BOT .

" BOT hawataki kutupokea , wametufukuza kama mbwa "

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba jumla ya waliorejeshwa na mahakama walikuwa 31 , lakini 11 kati yao walishafariki dunia kutokana matatizo ya msongo wa mawazo uliosababishwa na kufukuzwa kazi .

Chanzo - MwanaHalisi.

Mungu wabariki wahanga hawa .

Mwanasheria wao alishaijulisha BOT kwa maandishi kuwa wateja wake wameshinda kesi na kwamba wanatakiwa kurudi kazini? Au ndio wamegeuza vyombo vya habari kuwa 'wasemaji' wao?
 
Mkuu, wanapaswa kufuata hatua nyingine kimahakama kama walivyozianza.
kweli,waende kwenye kukaza hukumu(execution),BOT wapewe muda wa ku show cause,wakisha show cause hapo ndipo suluhu itapatikana....kwa maana.ya kwamba BOT anaweza kusema yuko tayari kulipa malimbikizo na haki nyingine za watumishi wake kwa mujibu wa maombi ya kaza hukumu.

na hapo pia atasema kama ana nafasi au laaa za kuwarudisha ofisini,kama.hana basi anawapa haki zao wanasepa.

ila siasa muhimu,I repeat
 
Back
Top Bottom