Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kwa tuliosoma boarding hasa zile za wasichana na wavulana tulikuwa tunakula msosi huku mboga zikiwa na harufu ya mafuta ya taa. Hakuna sababu ya maana iliyokuwa inatolewa na wapishi zaidi ya kuwa...
0 Reactions
80 Replies
19K Views
Sababu hii inatosha kabisa kutokuirudisha tena ccm madarakani mwaka 2020 sema watanzania hatutumii akili zetu sawasawa hasa wanawake walio wengi wamekuwa janga kubwa katika hili, lakini akili zao...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Wana-JamiiForums, awali ya yote Heri ya Christmas na mwaka mpya. Naomba kujuzwa gharama ya kutembelea mbugani Serengeti ikiwa ni pamoja na hotel. Lengo niipeleke family yangu huko atleast kwa...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Nawasilisha malalamiko yangu kwa uchungu mkubwa, kwa heshma na taadhima naziomba mamlaka za juu zinazojihisisha na SUMATRA kitenga cha mabaharia wamulike kwa jicho la pili kitengo hiki kwani ni...
1 Reactions
0 Replies
864 Views
Msiba wa mama Winnie Mandela atakaeguswa atume mchango kwenye namba yangu, sote ni ndugu. M-PESA 0744409220 *Viva WINNIE VIVA AFRICA* R.I.P winny, chit chat hahaha
3 Reactions
18 Replies
2K Views
China wametengeneza daraja la kioo tupu ambalo ni 3000 mita kutoka usawa wa ardh, daraja ilo limejengwa likizunguka mlima na linatumika kama kivutio cha utalii, Jambo la kushangaza ni kwamba...
4 Reactions
36 Replies
7K Views
Maana nimeshangaa eti Msasani wanaiita uswahilini? Ni maeneo gani hapa yana sifa ya kuitwa uswazi? Mnanichanganya mjue...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
  • Redirect
Habari wakuu,nahitaji kufahamu taratibu kwa maana ya gharama za malazi,chakula na kutembezwa mbugani katika hifadhi yetu ya Serengeti national park kwa wale ambao wamefanikiwa kutembelea,ili...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ndo basi tena, kale kamtindo ka kugeuka geuka kila muonapo wanawake waliofungasha nyuma ukome.
0 Reactions
Replies
Views
Nimekuja Mo town kwenye msiba wa Mzee Ndesamburo, nimeshangaa na kustaajabu. Mara ya mwisho kukanyaga Moshi ilikuwa mwaka 1998, almost miaka 20 iliyopita lakini mji huu haujabadilika. Miaka...
22 Reactions
109 Replies
20K Views
Mkazi wa wilayani Igunga, mkoani Tabora ameuawa na fisi na mwingine kujeruhiwa baada ya kushambuliwa na mnyama huyo katika Kata ya Ziba, wakati wakirejea nyumbani kutoka kwenye klabu ya pombe...
1 Reactions
128 Replies
21K Views
  • Redirect
Ni baada ya kuuanza kugawa ma papai
0 Reactions
Replies
Views
Juzi nimeweka salio sh.1000 kwenye simu ajabu nimeamka imebaki 852, which means kuna hela ilikatwa Jana tena nikasema ngoja nijaribu, yawezekana kuna kitu nilifanya, nimeamka imepungua tena, na...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Nina jirani yangu(nimepanga) naye ana nyumba yake jirani na nyumba niliyopanga. Ananifungulia muziki kama vile yale magari yanyopita barabarani kufanya promotions au adverts. Kwa kweli ananitesa...
5 Reactions
182 Replies
16K Views
Hivi hawa jamaa hawana kilinge? BABU.MIAMBI.Mganga wa tiba asili. Nyota, kumvuta mme/mke, nguvu za kiume, pete, biashara, jini mali, mali iliyopotea.0684099728/ 0744768265. ITAFIKA POPOTE.
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Basi mali ya Kampuni ya Complex Safari ambalo linafanya safari zake Dar es salaam kwenda Mwanza, limepata ajali ya kugongana uso kwa uso na Lori aina ya Fuso. Ajali hiyo imetokea maeneo ya...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
TRAFFIKI TAZARA WANAVYOUJUMU MAPATO YA RELI YA TAZARA ( PUGU-TAZARA) MKAKATI WA KUSABABISHA VIFO VYA WATANZANIA Serikali imeanzisha usafiri wa treni ili kusaidia Kupunguza foleni Jijini; Na ili...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
JF ni sehemu ya kuongea kwa uwazi, ewe ndugu RSM mpya wa tigo musoma mjini, punguza ama acha kuonea vijana kuanzia hawa vijana wanaopita kutusajilia line, vijana wanaowasimamia wanaosajili line...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana bodi, Siku moja nikiwa naendelea na mishe zangu, nilipigiwa simu na watoa huduma ya mula *150*78# kuwa naweza nujua bundle la king'amuzi kupitia kwao kwa njia rahisi zaidi. Niliwajibu poa...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Jionee Mwenyewe
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom