Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Nimewaza sana, wakati fulani nawaza nafika mbali sana. Hivi unajisikiaje unapoishi katikati ya wapuuzi halafu wewe tu ndo una akili? Inaumiza na inatesa sana. Ni mateso ambayo sisi wengine...
16 Reactions
33 Replies
4K Views
Polisi wamemkamata mwanamke wa kijiji cha Sokoni wilayani Tarime, kwa kumuua mtoto wake wa miaka minane kwa kumpiga na mwiko. Kamanda wa polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya, Henry Mwaibambe...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kifo cha askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Konstebo Kulwa Gilbert, aliyepigwa risasi kwa bahati mbaya na mwenzake, kimezua mshtuko kwa ndugu, jamaa, askari wenzake na majirani aliokuwa...
66 Reactions
491 Replies
40K Views
Habari wana JF, Ni mda sasa toka mamlaka husika ya TCRA kutoa agizo kwa baadhi ya makampuni kuonesha baadhi ya channel bila malipo. Mimi natumia king'amuzi cha STARTIMES lakini pasipo kukilipia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Redirect
Kumekuwa na utapeli ambao mtu hutuma sms kujifanya kumsifia mganga wake wa kienyeji akishukuru kupata mari au kwa wanawake akisifiwa kuweka ndoa vizur mwanzo niliaanza kupata sms mimi nikajuwa...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wasalaam Yaani kumezuka haka katabia watu fulani wanakuwa wanatuma SMS kwa watu wengine zinazozungumzia uganga uganga au uchawi na tiba au mafanikio ya uponyaji au ya kimali. Nauliza hawa watu...
1 Reactions
Replies
Views
Naona mvua zimekazana usiku kucha leo na hata sasa zinaendelea na hali ya hewa walitutangazia hilo mapema. Sasa kwa wale tunaotumia mwendokasi vipi huduma inaendelea kutolewa ili tutoke kwa kazi...
0 Reactions
3 Replies
946 Views
  • Redirect
Salaam! Kwa niaba ya Mtawala Kongwa naomba kuwajuza juu ya kifo cha DED Kongwa ndugu Izengo Ngusa aliyefariki usiku wa kuamkia leo maeneo ya Mbande Makaravati kwa kugongana na gari la mafuta...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Janga la taifa la dar.Kwa mujibu wa uongozi wa DART usafiri usitishwa mpaka mtakapotangaziwa kutengemaa kwa hii huduma.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nikijiuliza mara ya mwisho kumuona ray kigosi kwenye movie hata sipati picha.. Wala hata sijui lini labda mm sio mfuatiliaji wa bongo movies.. Nasikia ray kigosi ni male best actor kwa Africa...
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu wanabodi, salamu mbele! Ikiwa leo ni siku ambayo chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) wanafanya uchaguzi wa kuchagua viongozi wake kuanzia kwa wajumbe wa baraza la viongozi mpaka Rais...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Nilitafakari bila majibu, nikijaribu kutafakari utofauti wa yule mgonjwa, aliyeko kwenye hospitali ya kisasa na ile ya kijijini kule Makoja/Ngarenanyuki. Maana wote wakifa wanaelekea sehemu moja...
0 Reactions
2 Replies
530 Views
KISA CHENYE MAFUNZA C n P. Wosia wa baba. Kuna bwana mmoja muumini aliyekua na hekima na busara, Mola alimjaalia utajiri mkubwa na alikua akiishi na watu vizuri. Kila mtu alikua akimtaja kwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
NUKUU: "Askari walikwenda Chumo msikitini, wakapiga risasi wakachukua watu 10 tumefika damu zimetapakaa, walivyorudi mmoja kafa, mmoja hana jicho, mmoja wakamnyoa ndevu kwa kumchoma moto...
20 Reactions
107 Replies
10K Views
Nimeshafika Arusha. Kwenye Semina na Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika almaarufu TLS. Kuna Semina na mada kadha wa kadha. Lakini kubwa ni uchaguzi wa Rais wa TLS kumrithi...
18 Reactions
30 Replies
4K Views
Mange amekuwa akipata baadhi ya taarifa za ndani sana za Serikali na hata watu wengine wamekuwa wakijigamba kuwa kila linalofanyika ndani ya Serikali wao wanapata taarifa hizo A to Z. Swali la...
6 Reactions
209 Replies
16K Views
Siku kama ya leo..(alhamisi kuu)tarehe 13/4/2017 nilimpoteza Baba angu..Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa Amani..Amen
3 Reactions
70 Replies
4K Views
Kuna taarifa kuwa Serikali ya Putin (Urusi) kupitia kwa Jaji mmoja wa Mahakama Kuu kuamuru mtandao wa Telegram kutoa taarifa za watumiaji wa mtandao huo kwa mamlaka za usalama za serikali kifunye...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Jumuia ya Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dodoma, Salome Kiwaya amefariki dunia kufuatia ajali iliyohusisha magari matatu leo mkoani Dodoma. Pia alikuwa Mwandaaji wa Miss...
0 Reactions
91 Replies
24K Views
Wakuu salaam. Naomba wajuzi wa vyombo vya anga watujuze ubora wa ndege za ATCL zilizotua hivi karibuni na ndege ya Askofu Gwajima wa Ufufuo na Uzima.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom