R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,573
TRAFFIKI TAZARA WANAVYOUJUMU MAPATO YA RELI YA TAZARA ( PUGU-TAZARA) MKAKATI WA KUSABABISHA VIFO VYA WATANZANIA
Serikali imeanzisha usafiri wa treni ili kusaidia Kupunguza foleni Jijini; Na ili wamelifanya kwa kuanzisha treni za Mjini TAZARA NA TRL.
Makampuni aya yametengeneza ratiba ya dakika kumi Kusubiriana kati ya Treni ya TAZARA NA UBUNGO . Cha kushangaza wakati treni ya UBUNGO ikishusha abiria ili wakapande ya PUGU; Askari wa daraja la TAZARA jioni saa 12 na saa 2 Usiku wanaruhusu gari za kutoka Mjini Makusudi na Gongo la Mboto Posta na Kuwafanya Abiria wengi kuachwa na Treni ya Tazara ;
Imekuwa kawaida kwa Abiria kuvamia barabara na Kuzuia magari kwa nguvu kwa kuvamia barabarani ili hali askari akilazimisha magari yaende ; Tatizo lipo kwa bodaboda amabao ugonga abiria . Wenye magari ya private uhamua kusimama kwa lazima ili kuruhusu ingawa upigwa faini.
Ukienda Tazara hakuna taa ya Abiria na wakati Treni inshusha Askari huwa wanaona watu wananvyovamia barabara na kupiga kelele kuomba wazuie magari.
USHAURI WABADILISHE WANAONA HAKUNA RUSHWA. ILI TUSISUBIRI MAAFA YA KITAIFA