sky walker
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 1,160
- 834
Nilikuwa nimeka nacheza nae mara ghafla nika mwambia kuanzia kesho nakufungia bandani na kukufunga kamba juu hutatoka nje tena wala ndani huta ingia.
ALIKUWA HIVI
Mara akabadilika sura na kuanza kulia na hii ni baada ya kudokoa msosi wangu ulikuwa mezani hapa jikoni sasa adhabu yake namuacha alie usiku mzima.
NA NAONA ANA TAMANI KUOMBA MSAMAHA LAKINI ANASHINDWA KUONGEA ANANIANGALIA TU NA MACHOZI MENGI SANA
USHAURI NI MFANYEJE HUYU DOG WANGU AU NI MSAMEHE TU