Riwaya za Shaaban Robert

Mzuri hujiharibu ikampata adhabu na mbaya akatubu dhambi zake hufutiwa


Aombewae laana dua zikizidi sana huokovu huwa hana Bali huangamia


Mtoto mshike mshiketo. Cheche huzaa moto. Mto huzaa kijito,
Tone bahari na ziwa

Shaaban Robert
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom