Habari..!!
Kero yangu ni katika huu mfumo wa serikali wa RITA umekaa kipigaji sana. Mfano unaomba kufanyiwa Verification ya cheti lakini mfumo haukuambii kuwa cheti chako ni cha mda mrefu hakipo...
Binadamu tunajiona viumbe waliobarikiwa kwa akili na maarifa. Tumegundua teknolojia, tumeandika vitabu, tumejenga miji mikubwa, na tumeunda tamaduni nyingi. Lakini tukichunguza kwa undani, yote...
Wana-JF salamu,
Nimekuwa nikitafakari kuhusu diplomasia yetu ya kimataifa na nguvu ya pasipoti yetu.
Swali langu kuu ni: Je, nchi mbili zinaweza kukubaliana kufuta kabisa masharti ya Visa...
JE NI LAZIMA KUMSAMEHE MZAZI ALIYEKUTELEKEZA?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Jibu la moja kwa moja kwa wale wasiopenda Maelezo marefu.
Jibu sio Lazima Kumsamehe mzazi au mtu yeyote...
Adv. Taslima Kaijage
+255 715 / 784 / 774 - 161820
1. Ukinunua ardhi(nyumba,kiwanja,shamba)hakikisha unafannya transfer(kuhamisha umiliki kutoka aliyekuuzia kwenda jina lako Mnunuzi) mara moja...
Amani iwe nanyi wapendwa.......Back in days mimi ni under 30 leo nitatoa ushuhuda kidogo kuhusu huyu Yesu kristu aketiye mahali pa juu sana mbinguni
1. Niliitwa nikiwa chini kabisa
· Zaburi 40:2...
Kama mnavyojua Anko amepewa talaka 3 na tayari washatengana na Mama. Nataarifiwa anakusudia kupeleka shauri mahakaman ili kupata hako ya mali walizochuma na mtalaka wake.
Nisile kuku, nyama choma, chips eti nitanenepa, mbona tembo nyati na swala, nyani wanakula majani na bado wananenepa?
Wataalamu tusizoeane na tusifatiliaene🤣🫵
Acha uoga na ufungue akili yako.Kuzaliwa na kufa ni biashara ileile moja.
Watu wengi mnaishi kama watumwa wa uoga. Mnaogopa kuzikwa ardhini wakati mmesahau kuwa mmetoka kwenye giza nene kule...
Nafikiri nafaa kuuliza swali labda mimi ndiyo sielewi, neno mazungumzo na waandishi wa habari ambalo watu wangu maarufu hapa tanzania wanalitumia kujibu hoja, kutoa malalamiko juu ya swala flani...
Nimepita mitandaoni huko nikaona hii Cable ya umeme , nikakumbuka miaka ya 2000. Kuna siku nilitoa hii Cable kwa nje nikachomeka mashine ya kunyolea.
Sasa wakati nasubiri katokea mtoto wa jirani...
Nimejaribu kupitia na kuangalia maslahi ya walimu kwenye nchi za wenzetu(botswana, South Africa, Rwanda, Qatar n.k) nikagundua walimu wanalipwa vizuri mno kuliko wanavyolipwa kwetu
Nikaangalia...
Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo...
Katika dunia ya leo, tunashuhudia wimbi kubwa la watu wanaojiita wasemaji wa maisha ya binadamu wenzao. Wengi wao wamekuwa wakitoa maneno mazuri ya kutia moyo, lakini mara nyingi maneno hayo...
Wandugu zingatieni sana hili hasa ukiwa pekeyako
Ni uamuzi wa busara sana kutozima simu yako unapoenda kulala, kwani hatua hii ndogo inaweza kuwa tofauti kati ya usalama na janga kubwa.
Nyakati...
Facts is:-
Kunapotokea suala la starehe ya muziki,basi tufanye muziki,
------
Kunapotokea suala la michezo,basi tufanye michezo,
------
Kunapotokea suala la siasa au muda wa siasa tufanye siasa..
sisi wenye ID's ambazo hazina muda mrefu kuanzishwa sio kwamba tulikuwa na ID's za awali na wala sio kwamba ni wageni hummu jamvini.
kumekuwa na nyuzi kadhaa za unyanyapaa kuhusiana na ID's...