A
Anonymous
Guest
Habari..!!
Kero yangu ni katika huu mfumo wa serikali wa RITA umekaa kipigaji sana. Mfano unaomba kufanyiwa Verification ya cheti lakini mfumo haukuambii kuwa cheti chako ni cha mda mrefu hakipo kwenye mfumo badala yake inatoa control Number ambayo ukilipia Malipo yanaenda na hayarudishwi je huu sio WIZI kwa Wananchi...??
Mimi pekee ni Muhanga wa hili Nimelipia Verification mara mbili lakini zikawa Rejected wakati Nimeshalipia tayari marambili mpaka nimefanya kuwapigia cmu ndo Naambiwa kuwa HELA YAKO HAIWEZI KURUDI HAPO NI UMECHANGIA TU SERIKALI YAKO.
Wahusika watuambie je serikali yetu hii ina njia rasmi na zisizo rasmi za kuibia wananchi hela zetu..?? Na pia hakuna hata 0ption yakusema umeshalipia basi upewe huduma kwa ile hela uliyokwisha lipia tena, ni kwamba Unalipia tena huduma hiyo hiyo jambo ambalo si la Haki.